Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Nilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Bro acha ushamba na u-heal sasa ndo nn hiyo serious mwanaume mkubwa unajisifia hivo...kwa kweli huyo mwanamke deserves better kabisaa
 
Kujiona keki tu yaan mtu namba katoa mwenyewe alafu anajizungusha akitafutwa, 🖕🏽🖕🏽🖕🏽 mnaboa sana akiulizwa mboni haupatikani hewani anajifanya km hauelewi umeuliza nini 🖕🏽🖕🏽🖕🏽 mnaboa sana
 
Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Mkuu semina nje ya mkoa, akaomba dinner, akalalamika unamchunia, akaonesha hataki kukupoteza na bado ukashindwa kumpokea kijiti na kumuongoza anachokitaka!?
 
Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Tengeneza mazingira ya kulana kimasihala bila kuongelea Habari za kutongozana na kuomba ombana. Wenyewe wanaita no strings attached...yaani vikojoleo ndio viongee
 
Kwa wakongwe kukataliwa ni sehemu ya kukubaliwa(watoto hamuwezi kuelewa)
Huwa hatuonyeshi hasira wala chuki au tofauti yoyote, mawasiliano ya salamu kujuliana hali yanakuwepo, utani na ucheshi ndani yake.
Ipo siku tu atapata kwangu kitu ambacho ni furaha kwake ila hakipati kwa mwenzi wake na hapo ndipo huitumia nafasi nilioisubiri kwa muda mrefu, hata kama hatokuwa mpenzi ila nitamtafuna tu.
Umekaa kinyonge sana
 
Ndo maana sina tabia ya kutongoza ni unajitongoza mwenyewe unajileta wa kuelewa wataelewa alafu masuala ya tongoza tongoza yalipitwa na wakati kwani huwezi kaa na pisi moja mkafanya mipango yenu mizuri mwishowe uharibu urafki na mtu ambaye angekusaidia mbeleni
 
Sasa hata ungepata hayo mawasiliano so unajiumiza tu maana umekataliwa ukiendelea kuwanae karibu ipo siku utaona mwenzio aliekubaliwa he moyo hautakuuma kikubwa Ni kupotezea na kutafuta pengine ukamsahau huyo aliekukataa
 
kwa hio unataka mawasiliano yaendelee mwisho wa siku nije nitambulishwe kwamba huyu ndiye shemeji yako ?

kwani mi sina roho ?

ifikie kipindi ukuwe basi …
 
Ulitengeneza ukaribu ili baadaye yawe mahusiano ya kimapenzi, hivyo ikishindikana kutimia lengo, ni ngumu kuendelea. Ingawa hili swala ni la kisaikolojia zaidi na si jambo ambalo ni logical.
 
Wewe umeomba kazi kampuni X umekosa badala si unatafuta kampuni nyingine sa unaendelea kubaki usubirie nini😂
 
Back
Top Bottom