Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Akikukazia afu akataka muwe marafiki usikubali huo mtego anabuy time ili akutumie kiuchumi au anaangalia kama mshkaji alienae atafanya mistake ili sub ifanyike
 
Ukikataliwa ni aibu, ni kama umetembea uchi kwenye kadamnasi. Inategemeana na uelewa wa mtu, binafsi sikubali kukataliwa, kwanini nikataliwe?, hii imenifanya kuwa mgumu kutongoza.
 
Kwa mwanaume ukitongoza ukakataliwa akisema ana mtu wake usifute no.

Ipo siku huyu mtu wake atampiga tukio na wewe usicheze mbali unamaliza kirahis sana.

Kama mfariji na utatumika kulipa kisasi

Note. Usisahau kuvaa mpira.
 
Mawasiliano ya kuhusu nini sasa?
 
Alinikataa kwa dharau. Alisema wamaasa siyo bin'Adam waliokamilika. Sasa nitamuonyesha
mbona alisema ukweli?? masai ni binadamu kwani?? binadamu gani asiyesikia baridi anatembea na shuka tuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…