kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
na ndo hao hao wanaongoza kusema mtafutaji hachokiWewe umeomba kazi kampuni X umekosa badala si unatafuta kampuni nyingine sa unaendelea kubaki usubirie nini[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ndo hao hao wanaongoza kusema mtafutaji hachokiWewe umeomba kazi kampuni X umekosa badala si unatafuta kampuni nyingine sa unaendelea kubaki usubirie nini[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa waendelee ili iweje...
Hujakua...
Watoto wamekutana ofisiniNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Heshima yako Kamanda!Umeenda kwa mama ntilie kakwambia chakula kimęisha unabakipo kufanya nini?
Kata kona hamna chako tena!
mbona alisema ukweli?? masai ni binadamu kwani?? binadamu gani asiyesikia baridi anatembea na shuka tuu??Alinikataa kwa dharau. Alisema wamaasa siyo bin'Adam waliokamilika. Sasa nitamuonyesha