Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Akikukazia afu akataka muwe marafiki usikubali huo mtego anabuy time ili akutumie kiuchumi au anaangalia kama mshkaji alienae atafanya mistake ili sub ifanyike
 
Ukikataliwa ni aibu, ni kama umetembea uchi kwenye kadamnasi. Inategemeana na uelewa wa mtu, binafsi sikubali kukataliwa, kwanini nikataliwe?, hii imenifanya kuwa mgumu kutongoza.
 
Kwa mwanaume ukitongoza ukakataliwa akisema ana mtu wake usifute no.

Ipo siku huyu mtu wake atampiga tukio na wewe usicheze mbali unamaliza kirahis sana.

Kama mfariji na utatumika kulipa kisasi

Note. Usisahau kuvaa mpira.
 
Back
Top Bottom