Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Si kama namdharau, no.. but kuna ile namna namuona tu wa kawaida… akiniita ofisini kwake, akili inarudi kwenye kunitaka.. 😔 nachelewa kwendaa, ama naenda nikiwa nishakasirika 😔😔
Havutiii maana yake.
 
Si kama namdharau, no.. but kuna ile namna namuona tu wa kawaida… akiniita ofisini kwake, akili inarudi kwenye kunitaka.. 😔 nachelewa kwendaa, ama naenda nikiwa nishakasirika 😔😔
Kwanini hampendi??
Hatupendi kwasababu wanawake huwa katika hali kama hiyo huwa mnakuwa one sided sana. Yaani shida zako unazimwaga kwangu, za kwangu unamute. Yaani ni heri mwanamke umwendee kwa lengo la urafiki ndo inakuwa njema zaidi, ila ukimtongoza akakataa, inakuwa sasa unampa power baada ya hapo anaanza kukudharau ndo maana mtu akikukataa unampiga chini, unakuwa tu na mawasiliano ya mambo , poa, end of the story.
 
Sina muda na mtu ambaye hana muda nami, ukinikataa nitaonesha nia yangu ya dhati ya kupambania nilichokieleza/kitaka ndani ya muda fulani ila baada ya huo muda kupita bila kueleweka naendelea na maisha mengine na wengine.

Kipindi npo chuo 1st year nilitongoza pisi moja ya kilokole ikaniwekea ngumu baada ya hapo nikapunguza mazoea ikawa ni salamu tu, imepita miaka kanicheki mwaka huu analalama ya kwamba ananipenda ni kwanini nilipunguza ukaribu nae? Akajiimbisha mapambio yake akamalizia kwa kusema anatamani nimuoe au aolewe mwaka huu mwezi october, nikaona tu huyu hana jipya kashaona soko lishamtupa anatafuta wa kumalizia nae maisha. Sikumjibu kitu ukizingatia ni fimbo ya mbali, alinisumbua mwshoni akaona response yangu ni hafifu akatokomea.

Ukishamwambia mtu ukweli wa unachofeel kumhusu unakuwa kwa upande wako umemaliza, kazi inabaki kwake kuamua yajayo. Asipokuelewa sio kesi ila hii ya kumganda mtu hapana. Ke wengi wanakukataa ila wanataka urafiki/ukaribu unaowanufaisha wao, wakupige vizinga bila chochote.
 
Back
Top Bottom