Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

SISI HUWA TUNAANGALIA BENEFITS ZETU ZA LEO [emoji753][emoji753]

KESHO ITAJITEGEMEA WAKATI KESHO INAANDALIW NA JANA NA JUZI


Kungekuw na usimamiz mzuri kabsa hii biashara ilitakiw iwe next level na iwe 24HRS usiku kabisa wangekuw na vi mwendo kasi vidogo vko available system zikaw update and efficiently lakn kampun inazeek utazan madaras ya shule za msingi

WA Tz labda tukabidhi watu binafs wafanye biashara hizo wakina Kilimanjaro, Dar express
 
"Ngozi nyeusi ina laana milele"

UMUGHAKA wa baghaka
 
[emoji3591] Nitajie mradi mmoja tu wa serikali ambao unaendeshwa kwa weledi na kwenda kama unavyotakiwa.

[emoji3591] Nitajie kitu ambacho sisi Wabongo tulishawahi kuanzisha na kikaenda vizuri.

[emoji3591] Nitajie taasisi au shirika lo lote la serikali ambalo linafanya kazi inavyopaswa. Labda NIDA! [emoji16][emoji16][emoji16]

Nipo nimekaa paleee [emoji117][emoji117][emoji117]
 
Maswali kuntu mzee wa mitulingas

Ukijibiwa uni tag

Ova
 
HUu mradi ulijengwa kwa fedha ya mkopo sio hela ya ndani So Baada ya kukamilika na miaka kadhaa kupita Hyo hela inatakiwa irudi Ndio hvyo Wakipata pesa wanalipa deni mzee sisi huku uraiani tunaona wanapiga hela lakin Tukienda huku kujua zaidi Tutaona Mengi zaidi bora tukae kimya tu tuache wafanye kazi yao ...ni hayo tu
 
Haitokaa ipatikane kwanza wenyewe kwa wenyewe wanakwamishana, kuna mtu wiki iliyopita kafwatilia cheti cha kuzaliwa akaambiwa rita aende na kitambulisho cha nida na wala si namba ya nida, huku nida wenyewe sijui hata kama wanafotoa tena hvo vitambulisho, sasa unawaza rita ina serikali yake isiyotaka namba kutoka nida yenye serikali yao nyingine ama vipi,
Tanzania bado sana
 

Tumefika mahali ukienda kwenye hizi taasisi ukapata huduma inavyostahili unashangaa.

Juzi nimekwenda mahali nikahudumiwa kwa weledi sana mdada yule yaani yuko so professional. Ilibidi nimuulize kama yeye ni mgeni na kama ni Mtanzania...Aliishia kunipa namba yake na pengine siku moja nitamtoa out tukale angalau kitimoto [emoji16][emoji16][emoji16]

Unaingia kwenye taasisi ya serikali watu wamenuna utafikiri umeenda kuwakopa hela wakati wameajiriwa pale ili kuhudumia Watanzania wenzao. Nchi ya ajabu sana hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…