Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

Tumefika mahali ukienda kwenye hizi taasisi ukapata huduma inavyostahili unashangaa.

Juzi nimekwenda mahali nikahudumiwa kwa weledi sana mdada yule yaani yuko so professional. Ilibidi nimuulize kama yeye ni mgeni na kama ni Mtanzania...Aliishia kunipa namba yake na pengine siku moja nitamtoa out tukale angalau kitimoto [emoji16][emoji16][emoji16]

Unaingia kwenye taasisi ya serikali watu wamenuna utafikiri umeenda kuwakopa hela wakati wameajiriwa pale ili kuhudumia Watanzania wenzao. Nchi ya ajabu sana hii!
Usifanye kosa mkuu hiyo siku😂
 
Huyu mwendeshaji wa huu mradi aliyepo sasa Simon Group yuko ubia na serikali

Wamefeli ijapokuwa wenyewe wanasema alikuwa katika majaribio ya mradi huo kwa awamu ya kwanza

Ila mwaka jana mwishoni walisema wamepata mwekezaji kutoka UAE ambaye alishinda zabuni ya kuendesha huu mradi na ataleta mabasi 180 ndani ya miezi 6. Ngoja tuone

Katika mradi huu nafikiri serikali wasiingie ubia (joint venture) kama walivyofanya na Simon Group, wamwache mwekezaji auendeshe vile anaweza
 
Mwendokasi kwa sasa umekua usafiri wa mateso ukilinganisha wakati unaanzishwa na madhumuni yake kiujumla.

Umekokotoa vyema na umeshauri vizuri.

Yafuatayo ni ya kuzingatia;
1. Waongeze idadi ya magari
2. Wafanye matengenezo ya magari yao
3. Madereva wao na viongozi wa vituo, wanachotakiwa kufahamu ni kwamba wapo pale kuhudumia wananchi.
4. Uongozi wa juu ubadilishwe(kama hakuna mipango endelevu)
Hiyo kampuni wapewe weupe wasimamie vinginevyo kampuni kwishini
 
Tumefika mahali ukienda kwenye hizi taasisi ukapata huduma inavyostahili unashangaa.

Juzi nimekwenda mahali nikahudumiwa kwa weledi sana mdada yule yaani yuko so professional. Ilibidi nimuulize kama yeye ni mgeni na kama ni Mtanzania...Aliishia kunipa namba yake na pengine siku moja nitamtoa out tukale angalau kitimoto [emoji16][emoji16][emoji16]

Unaingia kwenye taasisi ya serikali watu wamenuna utafikiri umeenda kuwakopa hela wakati wameajiriwa pale ili kuhudumia Watanzania wenzao. Nchi ya ajabu sana hii!
Yan ukiwa na shida ya kwenda kweny hiz taasisi zao unajipanga manake wapo kama wameajiriwa wasitoe huduma. Huyu alieenda rita ilibidi awaulize sasa nifanye nini kupata cheti jibu kalete kitambulisho yani in other way hatupo tayari kukuhudumia
 
Basi moja inabeba watu si chini ya 350 during rush hours. Nauli ndogo ni 750. Per trip ni 262,500 hio ya kuishia Kimara tu. Chukulia basi kumi zifanye mzunguko huo mara 6 kuanzia saa 10 jioni hadi saa 3 usiku.

Roughly 262,500x10x6=15,750,000 hio ni Gerezani - Kimara one way hujahesabia kurudi. Ukiweka nenda rudi manaake unazungumzia 25M.

Kivukoni-Kimara nako upate 15,750,000 one way. Ukiweka nenda rudi maanake unazungumzia 30M kwa traffic ya ferry.

Hapo sijagusa ya mbezi mwisho ambayo ni 400x350=140,000
Ukiweka mabasi 10 yaende 6 trip kila moja ni 140,000x10x6 =8,400,000 hio ni one way Kimara-Mbezi tu during rush hours. Ukiweka 2 way maana yake inaweza gonga 12M.

Sijazungumzia less profitable routes kama Moroco, Muhimbili na Mwenge. Tuchukulie zote combined two ways zilete 23M tu during rush hours.

Twende kwenye hesabu ya jumla sasa.
Kwa masaa 5 tu ya jioni kuanzia saa 10.

Kimara-Gerezani: 25M
Kivukoni-Kimara: 30M
Kimara-Mbezi: 12M
Muhimbili-Morroco-Mwenge: 23M
SUB Totals================90M

Routes asubuhi: 70M
Routes jioni: 90M
TOTAL================160M

EXPENSES
FUEL. 20M
MISC. 5M (25)

NET==================135M

Humo una justify vipi kwamba umeshindwa nunua basi? Hio ni hesabu ya siku tu. Fanya kwa mwezi mzima utagundua kuwa hizo basi zinaweza generate 4.05B ukitoa mishahara ya kulipa staff wote, maintanance na vipuri utagundua the company makes around 2.5 Billions each month on average.

Basi moja la kichina sidhani kama linazidi 300M na hununui kila siku. Kwanini wanashindwa kununua gari hawa jamaa? Hivi wabongo ni nini tunaweza kusimamia wenyewe kikaenda bila ngendembwe? Ni aibu tupu!
Hao wanakula wenyewe, wanakandamiza staffs zao, shida tunakutana nazo abilia wenye kutoa hizo nauli.
 
mkuu madeni mkuu wangu wale wanadaiwa mafao ya wafanyakazi wa UDA toka zile ecarius bado madeni mengne ya UDA, bado madeni ya nmb, madeni yote ya UDA yalihamia UDA-RT mana kampuni mama ya UDA ni kama imeishakufa, hlf kampuni ya UDA-RT ni PLC maana yake ni ya serikali asilimia 85 halfu asilimia 15 ndio simon group wataacha kweli mradi wampe mtu binafsi kwa asilimia zaidi ya 50 wapigwe. maana pale karibia asilimia 90 ya mapato yanaenda serikalini

1. kuna salio linaenda TRA ukiangalie ile tiket utaona geresho la TRA
2. kuna salio linaenda DART tozo ya huduma maana UDART ni kama wamepangishwa kutumia barabara za BRT
3. mapato yanayobaki ya UDA-RT baada ya garam 85% yanenda hazina

half boss pale kuna aina 3 za mabasi
1.articulated ikizidi sana mwisho watu 250
2.rigid ikizid sana 150
3.feeder 100

note: mapato ya mwendokasi yanagawiwa sehemu nyingi ninkama hakibaki kitu TRA wanachao, DART wanachao tozo ya huduma, madeni ya UDA,nmb na mengne unafikiri kitabaki nn?

note: usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Jana nilikuwa napeleka mzigo pale kimara baruti nikasema Acha nipande mwendokasi kwakuwa faida yenyewe ni ndogo nitakomaa na mzigo wangu kuliko kuchoma mafuta Hadi sehemu husika Ila Ile adhabu niliyokutana nayo ya kubeba mzigo wangu kichwani Hadi nafika nilikoma aisee.
Mkono mmoja upo kichwani na mwingine nimeshikilia SITI maana chini hakuna nafasi ya kuweka mzigo Kwa kifupi huu usafiri ni unadhalilisha UTU wa MTU
 
Ile mwendokasi moja inabeba watu 350!!
Masikhara haya
Maybe amekadiria kwa kutumia variable kuwa abiria wanapanda na kushuka vituo mbali mbali kwa nauli ile ile mpaka gari inafika mwisho wa route.

Kutoka Kimara mpaka Gerezani kuna vituo 14 kama hesabu zangu ziko sawa iwapo atapakia wastani wa abiria 25 kwa vituo hivyo maana yake atakuwa amebeba abiria 350, though kuna muda average inaweza kushuka au ikapanda kulingana na muda.

Kwa Route ya Kimara- Gerezani na Kimara Kivukoni kuna uwezekano gari moja inabeba abiria zaidi ya 400 per route.
 
Wangeruhusu watu wenye uwezo wa kununua haya mabasi wanunue, ila wao wachaj ushuru wa kutumia barabara tu na infrustructurw za dart. Wabinafsishe ukatishaji ticket then wabaki kuangalia uwezekano wa watu kuiba. La sivyo huu mradi utakuwa wa kijinga kama miradi mingine tu
 
Mimi napandaga mwendokasi kama hiyo ruti hakuna daladala za kawaida.

Wale wakatisha tiketi nao ni wezi, ilishanitokea kuna siku kuna mdada alikuwa mbele yangu akatoa buku 2, wenyewe wakasema katoa buku. Baada ya kung'aka wakamrudishia chenji yake.

Zamu yangu na mimi nikatoa buku 2, akanirudishia 350 badala ya 1,350.
Sikutaka maneno mengi nikamwomba mgambo afungue mlango nimfundishe adabu huyo kibaka. Mgambo akasema kwani kuna nini? Nikasema we nifungulie tu.
Abiria tulioongozana wakaanza kusema huyo mkatisha tiketi ni mwizi, alitaka kumwibia yule dada (wanamwonesha yule dada ambaye ashaingia ndani, na yeye akasikia na akaja kutoa ushahidi alivyonusurika kuibiwa) kashindwa ndio anataka kumwibia huyu kaka.
Yule mgambo akataka kunipa buku yake ili kumaliza utata. Nikasema tatizo sio buku bali wizi, watu walipojazana pale ikabidi mhudumu anipe tu chenji kamili kumaliza utata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mwendeshaji wa huu mradi aliyepo sasa Simon Group yuko ubia na serikali

Wamefeli ijapokuwa wenyewe wanasema alikuwa katika majaribio ya mradi huo kwa awamu ya kwanza

Ila mwaka jana mwishoni walisema wamepata mwekezaji kutoka UAE ambaye alishinda zabuni ya kuendesha huu mradi na ataleta mabasi 180 ndani ya miezi 6. Ngoja tuone

Katika mradi huu nafikiri serikali wasiingie ubia (joint venture) kama walivyofanya na Simon Group, wamwache mwekezaji auendeshe vile anaweza
mkuu nipi nimekaa pale nasubiri akipewa mwingne sizan maana kwa muda huu mapato karibia asilimia 90 yanakwenda serikalini
1. kuna pato linaenda TRA kwa kila tiketi
2. kuna pato linaenda DART tozo ya huduma kwa siku zaidi ya milion 19
3. mapato yanayobaki UDA-RT , kuna yanayolipa deni la mkopo wa kijenga mwendokasi, kuna malipo yanayolipa madeni ya UDA( psssf na mengne) kuna madeni ya NMB
4.kinachobakia baada ya garama za uendeshaji asilimia 85 hazina,15 simon group

yaani ni kama hasara tu mkuu maana madeni plus garama za uendeshaji hakuna kinachobaki ndio maana unaona magari yamechakaa hakuna yanayonunuliwa
 
Jamaa hasemi ukweli kwenye namba zake.
Hizo trip sita zinatoka wapi. Watu 350.
Tuwe wakweli sio kuleta uzi wa sifa.
Tumia akili wewe.

Amekadiria kwa kutumia variable kuwa abiria wanapanda na kushuka vituo mbali mbali kwa nauli ile ile mpaka gari inafika mwisho wa route
 
Back
Top Bottom