Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

[emoji3591] Nitajie mradi mmoja tu wa serikali ambao unaendeshwa kwa weledi na kwenda kama unavyotakiwa.

[emoji3591] Nitajie kitu ambacho sisi Wabongo tulishawahi kuanzisha na kikaenda vizuri.

[emoji3591] Nitajie taasisi au shirika lo lote la serikali ambalo linafanya kazi inavyopaswa. Labda NIDA! [emoji16][emoji16][emoji16]

Nipo nimekaa paleee [emoji117][emoji117][emoji117]
NIDA! , labda kama umemaanisha kile kiwanda cha wahindi cha kutengeneza khanga
 
Itakuwa njema sana, sikujua kuna hizo gharama wanalipa ila still ukifanya assesment out of 135M kama faida still hela nyingi itabakia.Hakuna mfanyabiashara wa kukutengenezea million 100 halafu yeye akubali kupata 1M kwa siku!
mkuu mbona unangalia sana hela nyingi kubaki hela nyingi kubaki umeambiwa kuna garama kama izi
1. kila siku kwenye makusanyo kuna hela ya world bank zaidi ya 20 M kwa siku
2. tozo ya huduma ya kutumia BRT zaidi ya 19M kwa siku
3. kulipa madeni ya UDA na deninla udart la nmb
4. bado garama zingne za undeshaji kama kulipa mishahara, maintanance na nk

ukiingia ukajionea ndio utajua kama hela ipo au haipo
 
Sasa mkuu hata kama wanabakiza 1B kwa mwezi ni hela ndogo hio. Au kwako wewe unaona hao Simon Group wao wanafanya kazi ya kanisa kuendesha hio UDART???
 
mradi hauendeshwi na simon group elewa kampuni ya udart ni ya serikali asilimia 85 na hazina ndio kampuni yao, major share holder ambao ni serikali ndio wanaendesha mradi wa hayo magari simon group anasubiri gawio tu mzee maana anamiliki 15,% ya udart tu
 
Sasa mkuu hata kama wanabakiza 1B kwa mwezi ni hela ndogo hio. Au kwako wewe unaona hao Simon Group wao wanafanya kazi ya kanisa kuendesha hio UDART???
mzee simon group wamekaa pembeni wanasubiri serikali iwape gawio tu hawaendeshi mradi, udart inaendeshwa na serikali kwa usimamizi wa hazina maana wanamiliki 85,% , simon group waliishanyang'anywa walikua na 51% sasa wana 15%
 
Tatizo ni kuhusisha sekta binafsi duniani kote mwendokasi inaendeshwa na watu serikali kwa sababu faida yake huipati moja kwa moja. Watu wanapofika kwenye shuguri zao kwa wakati sahihi watazalisha na serikali watakusanya kodi. Kitendo cha kuhusisha sekta binafsi wao wamelenga kupata mapato zaidi ndio maana utaona mabasi yamepaki lakini abiria wapo wengi wanasubiri usuafiri.
Uingereza waliwahi kuwapa watu binafsi kuendesha usafiri lakini baadae waliwanyang'anya sababu watu walikuwa wanachelewa kwenye shuguri zao .
Kwa kifupi hatuelewi time is money ni kitu gani?
 
Basi ndio maana mradi uko hovyo sana na basi hazinunuliwi. Hela inaliwa hazina.
 
Tatizo ni kuhusisha sekta binafsi duniani kote mwendokasi inaendeshwa na watu serikali kwa sababu faida yake huipati moja kwa moja. Watu wanapofika kwenye shuguri zao kwa wakati sahihi watazalisha na serikali watakusanya kodi. Kitendo cha kuhusisha sekta binafsi wao wamelenga kupata mapato zaidi ndio maana utaona mabasi yamepaki lakini abiria wapo wengi wanasubiri usuafiri.
Uingereza waliwahi kuwapa watu binafsi kuendesha usafiri lakini baadae waliwanyang'anya sababu watu walikuwa wanachelewa kwenye shuguri zao .
Kwa kifupi hatuelewi time is money ni kitu gani?
watu hawaoni hii serikali huwa inaangalia watu wafike kwenye uzalishaji kwa haraka sio kupata faida kwenyw BRT, watuu ukiwambia mwendokasi ni hasara hawaelewi, muda huu hakuna private yoyote ambae anajihusisha na mwendokasi operation zote za mwendokasi ni serikali kuanzia ukisanyaji wa hela (udart) hadi kunedeleza miradi ya BRT(dart) vyote ivyo vyombo vya serikali kwa muda huu
 
lakini wao wanaendesha kwa ajili ya kupata faida hilo ndio tatizo
 
Sababu serikali imesimamiaa ila trust kama angepewaa mtu binafsi kuwendeshaa..huduma zingekuwa nzuri..angalia tu mfano wa mabasi makubwa..ya mikoani inavyoendesha vizuri na watu binafsi
 
BRT ni moja ya kielelezo cha miradi jliyofeli kiuendeshaji, kama tu ilivyo miradi mingi ya serikali...
Kwa maoni yangu, kwa kuwa pesa iliyojenga hizo barabara ni ya umma ilitakiwa kuwe na walau kampuni 2 au 3, za binafsi na zenye viwango, zinazofanya kazi kwa wakati mmoja kwa sababu uwezo wa hizo barabara kuzibeba zote upoo. Hapo kampuni zembe ingejifia yenyewe na kubaki kampuni makini. Kukiwa na kampuni zaidi ya moja ni rahisi hata kuwa na ubunifu mfano kuwa na usafiri express au luxury ili kama mtu anaumwa au hataki kubanana analipa 1000 au 2000 anaenda kwa raha zake. Kuiacha hiyo kampuni moja itambe njia zote hizo matokeo yake ndo hayo ya uzembe na kukera watu kwa sababu wanajua mtapanda tuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa million 5 tu wa sasa hivi ndio wanalalamika wanapumuliana visogoni kwenye mwendokasi. Huko Mbagala na Gongo la Mboto watu wanaingilia madirishani kwenye dalaladala na hawapati siti!
Waende kufanya nini huko mikoani?
Dar bado inahitaji watu Milioni 5 kwa miundombinu ya sasa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
SISI HUWA TUNAANGALIA BENEFITS ZETU ZA LEO [emoji753][emoji753]

KESHO ITAJITEGEMEA WAKATI KESHO INAANDALIW NA JANA NA JUZI

Kungekuw na usimamiz mzuri kabsa hii biashara ilitakiw iwe next level na iwe 24HRS usiku kabisa wangekuw na vi mwendo kasi vidogo vko available system zikaw update and efficiently lakn kampun inazeek utazan madaras ya shule za msingi

WA Tz labda tukabidhi watu binafs wafanye biashara hizo wakina Kilimanjaro, Dar express
Mkuu uko sahihi, ila hili lingewezekana kama wangeruhusu ushindani na ziwepo kampuni nyingine kwenye hiyo barabara...
 
HUu mradi ulijengwa kwa fedha ya mkopo sio hela ya ndani So Baada ya kukamilika na miaka kadhaa kupita Hyo hela inatakiwa irudi Ndio hvyo Wakipata pesa wanalipa deni mzee sisi huku uraiani tunaona wanapiga hela lakin Tukienda huku kujua zaidi Tutaona Mengi zaidi bora tukae kimya tu tuache wafanye kazi yao ...ni hayo tu
Sema bora "wewe ukae kimya"...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa million 5 tu wa sasa hivi ndio wanalalamika wanapumuliana visogoni kwenye mwendokasi. Huko Mbagala na Gongo la Mboto watu wanaingilia madirishani kwenye dalaladala na hawapati siti!
Kutumia madirisha mbona hayo mambo yashaisha?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom