Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

Itakua issue n mitonyo tu.. wasanii wa kibongo kumlipa producer hua mbinde.
. .. Joh Makin alipotea mara tu baada ya Nahreal kuacha kumpigia midundo n issue inasemekana ilikua mitonyo
Kumbe... Kwahiyo jamaa alikua analeta uhome boy sio😅😅
 
Mkuu "MANZESE" BONGE LA DUDE
 
Sasa mbona iko wazi Navy kenzo hawaeleweki rejea mada husika🤣🤣...Mfano ile kamatia chini wameimba nn pale ?
 
Tatizo sio wewe mkuu tatizo ni "Tanga" nyie huko zenu Taarab,singeli,mchiriku,mnanda na baikoko sio rahisi kusikiliza na kuelewa mziki wa Navy.

Yani watu wenye ngoma kama Company,Morning,Why now,Manzese,Game,Fella useme hawajui? Leta album yoyote unayoiona bora bongo hivi karibuni ikiwezekana hata miaka 10 iliyopita halafu nikuwekee album za Navy Kenzo, watu wajudge nani ni wasanii na nani ni wanamziki!

Navy Kenzo ndio maana halisi ya mziki, na ukija kwenye uproducer Nahreel ni mikono iliyobarikiwa anzia Riz one,Shem lake njoo kwenye ngoma za Weusi ambao tangu waache kutoa mziki kwa Nahreel mara ya mwisho kutoa nyimbo nzuri angalau kwa Luffa!
 
Soma kichwa za uzi utaelewa usilete ushabiki ,sasa niambia wanaimba mziki gani?

Navy kenzo wameanza mziki lin? Kuwa mtanga kuna uhusiano gani ?🤣🤣Ukweli hamna uwezo wao ni mdogo wangekuwa juu ,huwezi kufananisha na Diamond hata robo hwafiki acheni unafiki...Uzungu mwingi ila hamna mnachojua.
 
Acheni ujuha
Hivi kila kitu why mfananishe na huyo diamond? Diamond mwenyewe kashajichokea siku hizi

Kama hujui wimbo wa diamond ule Nana nahreel ndiyo aliproduce ila diamond akaleta uswahili wa kufuta signature yake.

Jamaa wanajua mziki sana ngoma zao ziko unique na beat ni expectional
 
Wanaimba mziki gani? Unajua kwamba Juma nature alikuwa anaimba mziki tofauti na bongo fleva ila alikuwa anahit sana?
 
Kwa producer nakuja 100 ila mziki hayuko poa ,kipaji hakuna .Majani alishakuwa kwenye ngoma na Madee ila anajua sio kipaji chake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…