Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

Tukiongea ule ukweli kabisa hawana uwezo wanafanya mziki kitajiri , kiufupi hata wanachoimba hakisikiki . Mfumo wa mziki wanaoimba ni nchi kama Jamaica ila jamaa hawana mashairi mazuri labda wakaimbie matajiri na watalii .

Unataka kusema nyimbo gani wameimba hata kiitikio kikabamba ? Kiufupi wanachanganya lugha kama sio watanzania , sikiliza ile nyimbo yao kamatia chini 😀...John makini anapiga hizo za Jamaica sana ila anaelekewa sauti inatoka kabisa ila hao wenzetu hata kiswahili hakieleweki.

Uwezo mdogo , angalia beat aliyoipiga Nahrel kwenye nyimba ya weusi ''gere'' ila bado weusi wameimba wakasikika ndani ya beat yenye nguvu ila wao binafsi na mkewe beat ikiwa juu wanatafuna maneno : Mfano kwenye kamatia chini na ile walioimba na Diamond.
Hao inatakiwa waachanishwe hata kinguvu!!!
 
Sema mie huwa napenda life style yao, wasanii wengine waliokuwa wanaendana na hawa ni Vanessa na Jux.

Vanessa nae alikuwa na uimbaji fulani wa kuvutia sana.
1. Wet ft Gnako
2. Niroge
3. Me and you
4. Bambino
🔥🔥🔥
 
Alipoona yamemshinda akaamua kustaafu
 
Tukiongea ule ukweli kabisa hawana uwezo wanafanya mziki kitajiri , kiufupi hata wanachoimba hakisikiki . Mfumo wa mziki wanaoimba ni nchi kama Jamaica ila jamaa hawana mashairi mazuri labda wakaimbie matajiri na watalii .

Unataka kusema nyimbo gani wameimba hata kiitikio kikabamba ? Kiufupi wanachanganya lugha kama sio watanzania , sikiliza ile nyimbo yao kamatia chini 😀...John makini anapiga hizo za Jamaica sana ila anaelekewa sauti inatoka kabisa ila hao wenzetu hata kiswahili hakieleweki.

Uwezo mdogo , angalia beat aliyoipiga Nahrel kwenye nyimba ya weusi ''gere'' ila bado weusi wameimba wakasikika ndani ya beat yenye nguvu ila wao binafsi na mkewe beat ikiwa juu wanatafuna maneno : Mfano kwenye kamatia chini na ile walioimba na Diamond.
Sikio Lako la mziki Litakua Na Walakini Kidogo Mkuu.Ukiwa Na Exposure Ya Kimziki Ukaelewa Production Nzima Na Music Business Inavyofanyika Huwezi Toa Tusi Kama Hilo "UWEZO MDOGO" .
Navy Kenzo Ni Moja Kati Ya Pure Talent Kabisa Za Mziki Kuwahi Kutokea Katika Music Industry Tanzania.
Nna Hakika Haujui Hata Album Yao Moja.
 
Hizo ni points za kujibia mtihani , huo ndio ukweli , nyimbo za Navy kenzo ni kama za bob junior za miaka ile ...Mziki nje ya production ni kipaji basi wakina Master j na Majani wangekuwa wasanii.

Abigal ana mbwembwe kama zako ila mziki hamna kitu ,mziki ni talent zilikuwepo kabla ya kuja hayo maandishi yenu...Navy kenzo hawajui kiufupi .

Kiufupi hawajui kuimba wanatumia vyanzo ili kuimba mziki kama Marehemu Mr.Ebo na nyimbo zake zile hazieleweki kwa vile alikuwq na studio.
 
Hahhh Points Za Mtihani Kweli ..Na Kama mithani Nna 80% Ww una 10%.Una Ujinga Mwingi Kichwani Eti Nna Mbwembwe Kama Za Abby Kwani Mm Msanii?Fala Kweli wewe
 
Back
Top Bottom