Katika kipindi chote tangu Tanzania ipate uhuru, hakuna kipindi ambacho raisi amekuwa akipromotiwa sana kama huyu mama. Licha ya kumpromote sana lakini wananchi wanaonesha bado hawamkubali. Sasa ivi kila page ya serekali wanabandika mapicha ya mama.
Waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Mama afanye kazi aache kutumia pesa ya serikali kujipamba mbona Magufuli alikua anapiga kazi inaonekana na raia tukamkubali bila matangazo? Hii nchi ina matatizo mengi mama aache kufuja pesa za uma.