Mbona Mama anakubalika kila sehemu wewe unaishi wapi?Katika kipindi chote tangu Tanzania ipate uhuru, hakuna kipindi ambacho raisi amekuwa akipromotiwa sana kama huyu mama. Licha ya kumpromote sana lakini wananchi wanaonesha bado hawamkubali. Sasa ivi kila page ya serekali wanabandika mapicha ya mama. Waswahili wanasema kizuri chajiuza kiraya chajitembeza. Mama afanye kazi aache kutumia pesa ya serikali kujipamba mbona Magufuli alikua anapiga kazi inaonekana na raia tukamkubali bila matangazo?
Labda anakubalika nyumbani kwako na kwa chawa wenzako. Pia mitaani ndo utajua hali halisi achana na porojo za chawa kwenye social media. Chawa mmoja ana hesabu za social media zaidi ya 20 za kumtukuza mama tuMbona Mama anakubarika kila sehemu wewe unsishi wapi?
Mama yako yupi anayekubalika wakati ye mwenyewe anajifungiaga ndani anaalia kwa kuona jinsi anavyochukiwaMbona Mama anakubalika kila sehemu wewe unaishi wapi?
Ni huzuni sana serikali inaendeshwa kama tamasha la fiesta matangazo kila kona kinachofanyika haikonekaniHana uwezo na hana sifa
Naogopa kukuambia ukweli kwasbb nyie mtu akienda kinyume na mawazo yenu mnamita chawa ndo shida. Ila Raisi wetu kwa viwango vya uraisi wa Tanzania she is above average, na atashinda uchaguzi kwa kishindo.Hana mvuto
Hapendwi
Ana nyota ya bundi
Amefeli
Wanamuona shamba la bibi
Chawaaaa😂😂😂😂Naogopa kukuambia ukweli kwasbb nyie mtu akienda kinyume na mawazo yenu mnamita chawa ndo shida. Ila Raisi wetu kwa viwango vya uraisi wa Tanzania she is above average, na atashinda uchaguzi kwa kishindo.
Facts na hakuna nyongeza hapo.Hana uwezo na hana sifa
CCM wasimpitishe huyu mama kugombea tena. Akiongezewa miaka mitano tena Tanzania sijui itakua na hali gani!!!Ni kwasabau sasa hv tunataka kuchagua raisi mzuri atakayelinufaisha taifa
kama mama hatoshi hatuna budi kumchagua mtu mwingine
Mama ameshindwa kuwalipa fidia ya ardhi wakaazi wa msimbazi wenye ofa na hati.
watu kama hao unadhani watamchagua kweli.
Ndio mana wamewekeza kwenye kumpromoteHana mvuto
Hapendwi
Ana nyota ya bundi
Amefeli
Wanamuona shamba la bibi
Maswali ya chawa wa mama haya!!!Ulikuwa hai kipindi cha Magufuli kweli?
Waambie hao, namshuru mama nimepata 10gb kutoka voda.Naogopa kukuambia ukweli kwasbb nyie mtu akienda kinyume na mawazo yenu mnamita chawa ndo shida. Ila Raisi wetu kwa viwango vya uraisi wa Tanzania she is above average, na atashinda uchaguzi kwa kishindo.
100%Hana uwezo na hana sifa