hivi kwanini njia (under ground ways ) cha chini kwa chini za shule sekondari mkwawa (kwasasa mkwawa college of education ,muce ) zilifungwa ??.


Kuwa na amani, tutafika huko mkuu. Afrika inaundwa na nchi changa sana, ikiwemo Tanzania. Wakati sisi tunatafuta kufikia miaka 60 tangu tupate Uhuru, hao wazungu wana zaidi ya miaka 200 wanajitawala.

Hata miaka hiyo ya 50’s tunayoizungumzia kwenye huu uzi, wao walikuwa na umri zaidi ya miaka 100 tangu wawe huru.
 
mkuu hebu jazia nyama kidogo , yani nikuwa silikuwa hazipitiki au wakati ulifika uongozi ukaamuaa kuzifunga
Zilisha fungwa already,ilikiwa ni story tu,kuwa kulikuwepo na underground ways.Tulikuwa tunaona mifuniko tu ya zinapoingiia na kutokea
 
Hizo njia zikifunguliwa basi aajiriwe mtu maalum wa kufagia na kuokota kondom maana watabanduana
 
Hizo njia zikifunguliwa basi aajiriwe mtu maalum wa kufagia na kuokota kondom maana watabanduana
mkuu hapa wazo langu ni kwamba , hizo njia zingefunguliwa lakini ziwe zinatumika kwa matumizi maalumu mfano .
njia hizi zinaweza kutumika kama moja ya sehemu ya utalii hapo chuoni ambako siku watu watakapo hitaji kujifunzaa juu ya njia hizi basi hapo ndyo watu watakapo ruhusiwa kuingia na siyo kuwa watu waingie kila waapojisikia lengo ni kuzuia historia hii ya njia hizi kufutika wakati zipo.
 
Nadhani sababu wanazijua wao sisi yanini kuumiza kichwa.

Ukute ni kabinti kamoja kalipewa mimba hapo kwenye handaki..
Sema wewe huwezi kujua, na wewe ndiye ambaye hutaki kuumiza kichwa sawa? Leo nimemsikia waziri Ummy akisema karibia nusu ya watoto under 5 yrs huko Iringa wana udumavu kutokana na kula lishe duni (unbalanced diet). Baada ya kupata hii taarifa nikaona nifukunyue kwenye tafiti mbalimbali nione what is going to happen huko baadae hawa watoto wakiwa wakubwa? Aisee I was shocked to learn that hawa baadae ndiyo huwa na uwezo mdogo wa akili na kwa kiasi kikubwa hutegemea kundi fulani ndilo liwafanyie maamuzi magumu juu ya maisha yao. Hata ubunifu huwa mdogo sana na huwa ni tegemezi sanaa...
 
Mkuu siyo mambo ya kufikirika bali ni mifumo yetu ya kipindi hicho ilipenda sana kuficha historia halisi ya matukio mbalimbali, pia sisi Waafrika hatuna utamaduni wa kuandika vitabu kuelezea mambo tuliyoyaona au kusimuliwa na mababu zetu.
 
Kabisa mkuu watu wangekuwa wanaenda kutalii na kujifunza na pengine chuo kingepata sehemu ya mapato. Hii ya usalama haina mashiko kwa sababu wangeweza kuimarisha pale penye mapungufu, lakini kumbuka kwamba majengo ya wazungu, hasa Wajerumani ni extremely strong, kuna madaraja unakuta yamejengwa miaka 1910 hukoo lakini bado yako imara mpaka leo.
 
Malaysia, Singapore etc tulipata uhuru pamoja but now wako mbali sanaaaaa sisi bado tunapiga mark time kwenye matundu ya Vyoo, madarasa, maji etc... Something is wrong with the way we think, plan and implement our development programs..
 
Halafu sasa wenyewe walijenga kwa viwango vya kuwa sekondari, na sisi tulivyo matutusa, hatuna hat uwezo wa viwango hivyo tunazigeuza kuwa vyuo vikuu,
Je wangejenga vyuo vikuu? si zingefanywa ikulu ...
 
Waarabu walikuja kabla ya wazungu....Hivi waarabu wametujengea shule/miundombinu Gani?
 
Halafu sasa wenyewe walijenga kwa viwango vya kuwa sekondari, na sisi tulivyo matutusa, hatuna hat uwezo wa viwango hivyo tunazigeuza kuwa vyuo vikuu,
Je wangejenga vyuo vikuu? si zingefanywa ikulu ...
Hawa watu wako serious sana na mambo yao, wakitengeneza kitu wanahakikisha kina quality ya miaka 100+ ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…