Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wazungu kuna standard fulani wamejiwekea hatutakaa tuwafikie hata robo..
Ukiangali shule za sasa zianavyojengwa, ukafananisha na hizo za mkoloni ni mbingu na ardhi..
Majengo ya mkoloni japo yamejengwa miaka 60 mpaka 90 iliyopita ila bado ni masterpiece mpaka sasa.
Zilisha fungwa already,ilikiwa ni story tu,kuwa kulikuwepo na underground ways.Tulikuwa tunaona mifuniko tu ya zinapoingiia na kutokeamkuu hebu jazia nyama kidogo , yani nikuwa silikuwa hazipitiki au wakati ulifika uongozi ukaamuaa kuzifunga
mkuu hapa wazo langu ni kwamba , hizo njia zingefunguliwa lakini ziwe zinatumika kwa matumizi maalumu mfano .Hizo njia zikifunguliwa basi aajiriwe mtu maalum wa kufagia na kuokota kondom maana watabanduana
Sema wewe huwezi kujua, na wewe ndiye ambaye hutaki kuumiza kichwa sawa? Leo nimemsikia waziri Ummy akisema karibia nusu ya watoto under 5 yrs huko Iringa wana udumavu kutokana na kula lishe duni (unbalanced diet). Baada ya kupata hii taarifa nikaona nifukunyue kwenye tafiti mbalimbali nione what is going to happen huko baadae hawa watoto wakiwa wakubwa? Aisee I was shocked to learn that hawa baadae ndiyo huwa na uwezo mdogo wa akili na kwa kiasi kikubwa hutegemea kundi fulani ndilo liwafanyie maamuzi magumu juu ya maisha yao. Hata ubunifu huwa mdogo sana na huwa ni tegemezi sanaa...Nadhani sababu wanazijua wao sisi yanini kuumiza kichwa.
Ukute ni kabinti kamoja kalipewa mimba hapo kwenye handaki..
Mkuu siyo mambo ya kufikirika bali ni mifumo yetu ya kipindi hicho ilipenda sana kuficha historia halisi ya matukio mbalimbali, pia sisi Waafrika hatuna utamaduni wa kuandika vitabu kuelezea mambo tuliyoyaona au kusimuliwa na mababu zetu.St. Michael na St. George na Kongwa European School zilikuwa za watoto wa wazungu tu, shule hii baada ya uhuru ilibadilishwa na kuwa Mkwawa ambapo wanafunzi wa kizungu walihamishiwa Mbeya School (IYUNGA SECONDARY SCHOOL) ambayo nayo kabla ya uhuru ilikuwa European School na kuwa shule ya kawaida ila ya kulipia ada. Kuna mambo mengi ya kufikirika ambayo yalisemwa yakidhaniwa kuwa yalikuwepo huku hayakuwepo kiuhalisia. Shule zote hizo zilikuwa na miundo mbinu ya hali ya juu sana yaani viwango vya ulaya, hili wanafunzi waliosoma Iyunga mpaka miaka ya sabini mwanzo wanaweza kuthibitisha.
Kabisa mkuu watu wangekuwa wanaenda kutalii na kujifunza na pengine chuo kingepata sehemu ya mapato. Hii ya usalama haina mashiko kwa sababu wangeweza kuimarisha pale penye mapungufu, lakini kumbuka kwamba majengo ya wazungu, hasa Wajerumani ni extremely strong, kuna madaraja unakuta yamejengwa miaka 1910 hukoo lakini bado yako imara mpaka leo.Wangezirudisha tu hizo njia kama kuna uwezekano, iwe ni sehemu ya utalii; vinginevyo labda iwe ni hatari kwa usalama wa watumiaji; kuhusu mambo ya kikubwa, wote wanaosoma hapo ni wakubwa kwa sababu wanamiaka zaidi ya 18, hakuna logic ya kuzifunga kwa sababu hiyo.
Malaysia, Singapore etc tulipata uhuru pamoja but now wako mbali sanaaaaa sisi bado tunapiga mark time kwenye matundu ya Vyoo, madarasa, maji etc... Something is wrong with the way we think, plan and implement our development programs..Kuwa na amani, tutafika huko mkuu. Afrika inaundwa na nchi changa sana, ikiwemo Tanzania. Wakati sisi tunatafuta kufikia miaka 60 tangu tupate Uhuru, hao wazungu wana zaidi ya miaka 200 wanajitawala.
Hata miaka hiyo ya 50’s tunayoizungumzia kwenye huu uzi, wao walikuwa na umri zaidi ya miaka 100 tangu wawe huru.
Zipo tena Kuna mengi huyu hajayasemaAisee mm mwenyewe nipo hapahapa sijawai kujua kama kuna njia za chin kwa chin zilizofungwa
Hujui maana yake au sifa tuAndaki ni nini? Hakuna mkoloni angewezs kukufundisha andaki.
Halafu sasa wenyewe walijenga kwa viwango vya kuwa sekondari, na sisi tulivyo matutusa, hatuna hat uwezo wa viwango hivyo tunazigeuza kuwa vyuo vikuu,Sema wazungu kuna standard fulani wamejiwekea hatutakaa tuwafikie hata robo..
Ukiangali shule za sasa zinavyojengwa, ukafananisha na hizo za mkoloni ni mbingu na ardhi..
Majengo ya mkoloni japo yamejengwa miaka 60 mpaka 90 iliyopita ila bado ni masterpiece mpaka sasa.
Halafu sasa wenyewe walijenga kwa viwango vya kuwa sekondari, na sisi tulivyo matutusa, hatuna hat uwezo wa viwango hivyo tunazigeuza kuwa vyuo vikuu,
Je wangejenga vyuo vikuu? si zingefanywa ikulu ...
Hilo andaki ndilo lile tuliokimbia umande tunaita handaki!Hujui maana yake au sifa tu
Baadhi ya shule zilizojengwa na wakoloni yapo
Yaani ukumbi mkubwa halafu una ngazi unateremka kwa chini kuna ka ukumbi