Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
 
  1. Nyoka ana mwili mrefu, mwepesi, na laini, ambao humwezesha kusogea kwa urahisi juu ya ardhi. Mwili wake hutikiswa kutoka upande mmoja hadi mwingine ili kutoa nguvu ya kusonga mbele (serpentine motion),anatumia misuli ya mwili wake kunyumbua kushoto na kulia, ili apige miguu ya ardhi kwa upande mmoja na kusaidia kusonga mbele.
  2. Jongoo ana vifundo vya magoti kwenye miguu vinavyoweza kubadilika, vinamuwezesha kupanda na kushuka milimani na katika maeneo yenye mawe, au kutoroka kwa haraka kutoka kwa maadui.
  3. Jongoo ana uwezo wa Camouflage kujificha ,
 
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?
 
namimi nakuuliza, hivi ndege(kuku) ana mbegu za aina Gani mpaka litokee yai?
anatuma njia ndefu(yai->kitoto) kwanini asizae tu Moja kwamoja
Na Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.
 
Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
Madhara ya kupiga mswaki masomo ya sayansi hususani biolojia ndio haya, nyoka/jongoo unajua anatembea vipi unajua kitu kinaitwa locomotive or locomotion unaelewa kitu kinaitwa movement unaelewa metabolic process? Hilo swali ni topic ya form 1 kwenye biolojia km ulidoji kipindi pole sana
 
Na Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.
unaingia ndani kwasabu hawawezi jitunza namara nyingi wanaish mazingira hatarishi..
 
Na Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.
Hata binadamu upo hivyo hivyo tu hauna tofauti yoyote chanjo za uume ni utumbo, endelea kujifunza
 
Pitia hapa👇

Back
Top Bottom