zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Binadamu mkia anao ila mkia wa binadamu umepotelea ndani kwa ndani kwenye uti wa mgongo wako ndio mkia wako ulipo jichunguze, na sababu ni kwamba mkia hauna umuhimu tena kwa binadamu km ilivyo kwa wanyama wengine maana binadamu ni mnyama aliechangamkaNa mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?