Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?
Ngoja waje
Tumefika za saa hiziNgoja waje
Kwanini unakunya kwa nyuma hunyi mdomoni?Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?
Na Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.namimi nakuuliza, hivi ndege(kuku) ana mbegu za aina Gani mpaka litokee yai?
anatuma njia ndefu(yai->kitoto) kwanini asizae tu Moja kwamoja
Madhara ya kupiga mswaki masomo ya sayansi hususani biolojia ndio haya, nyoka/jongoo unajua anatembea vipi unajua kitu kinaitwa locomotive or locomotion unaelewa kitu kinaitwa movement unaelewa metabolic process? Hilo swali ni topic ya form 1 kwenye biolojia km ulidoji kipindi pole sanaNa pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
unaingia ndani kwasabu hawawezi jitunza namara nyingi wanaish mazingira hatarishi..Na Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.
Mtu hunya kwa nyuma kwa sababu yuko timamu kiafya. Lakini ugonjwa wa Malaria 2 ndio unaweza kumfanya mtu kunya mdomoni yaani kutapika.Kwanini unakunya kwa nyuma hunyi mdomoni?
Hata binadamu upo hivyo hivyo tu hauna tofauti yoyote chanjo za uume ni utumbo, endelea kujifunzaNa Mimi nakuiliza, hivi kwa nini uume wa wanyama kama punda ,ng'ombe mbuzi nk. Una uwezo wa kutoka na kuingia ndani lakini wa binadamu unaning'inia usiku na mchana mpaka anakufa. Pia kwanini binadamu anatahiriwa lakini wanyama hawatahiriwi.
Wewe! wapo wenye mkia wa mbele...Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?
Binadamu tuna mikia ya mbele tu AKA fimboyaukwaju.Wewe! wapo wenye mkia wa mbele...
Umichekesha sana mkuu.Pitia hapa👇
For your peace of mind, don’t try to understand everything
"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu" Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako. Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu...www.jamiiforums.com