Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

Na mimi nakuiliza. Kwa nini wanyama wana mikia ya nyuma lakini binadamu hana?
Binadamu mkia anao ila mkia wa binadamu umepotelea ndani kwa ndani kwenye uti wa mgongo wako ndio mkia wako ulipo jichunguze, na sababu ni kwamba mkia hauna umuhimu tena kwa binadamu km ilivyo kwa wanyama wengine maana binadamu ni mnyama aliechangamka
 
Wewe uliosoma Biology upo wapi zaidi ya kuburuzwa na CCM kila siku?
 
CCM wana Polisi, Majaji, Magereza, Mahakama lakini bado wanaiba, wanadhurumu, wanaingia mikataba ya hovyo
 
Binadamu mkia anao ila mkia wa binadamu umepotelea ndani kwa ndani kwenye uti wa mgongo wako ndio mkia wako ulipo jichunguze, na sababu ni kwamba mkia hauna umuhimu tena kwa binadamu km ilivyo kwa wanyama wengine maana binadamu ni mnyama aliechangam
Mkuu kwenye biology unaonekana umekwiva, sasa nitakuwa nakuuliza maswali magumu ili JF uione chungu zaidi ya shubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…