Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

Nyoka ana slide to be specific slither...., au kama ni straight movement ni mwendo wa kujivuta kwa mbele... thus sio kutembea as in walk bali wana move...
 
Hivi ndio shule kwanza zimefungwa..
Aisee tutakoma
 
Tuanzie hapa hapa.
Kwa nini binadamu wantofautiana lugha namna ya kuwasiliana (kwa njia ya sauti) lakini ng'ombe wa dunia nzima huelewana/hutoa sauti zinazofanana?
Hilo ni swali la kihistoria ya makazi ya binadamu unaingia ndani kwenye jiografia masuala ya settlement n population distribution yaan hilo suali lako limezama ndani kijiografia na kihistoria zaidi sio kibiolojia kwa sana, nadhani kiufupi niseme hivyo naomba ulete swali lingine ukiuliza upuuzi nakujibu upuuzi
 
Nyoka hatembei..usijekuwa umemchanganya na mjusi..
 
Naanza na nyoka
- Sehem ya chini ya nyoka kuna scales (magamba) ambazo zinamsaidia kunasa kwenye vitu anavotambalia Kwa juu na kumsaidia kusogea mbele, ndomana spid ya nyoka kwenye mchanga ni ndogo kuliko kwenye majani

- Nyoka ana fanya spiral movement yani kujongea Kwa kujipinda pinda kama spring hii pia inamsaidia katika movement

Jongoo
- Jongoo kwenye kichwa Kwa juu kuna antenna ambazo zinamsaidia kuhisi vikwazo vilivyopo mbele yake, maadui na vingine kama hvyo
 
Hukusoma classification bro? Mambo ya distinctive features
Elimu yetu ina changamoto nyingi sana, sayansi ya form 2 -3 imeeleza vizuri sana tabia na sifa za viumbe watambaao (reptilia). Lakini kingine mambo yote haya yako wazi kabisa kwenye makala mbalimbali za kisayansi,tena kwa kiswahili, kwenye mitandao ya kijamii...
 
Wewe elimu yetu imekusaidia nini zaidi ya kuwa mtumwa wa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…