Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

Hatufai amekaa kiizraili mtoa roho, anajua mengi na ni msharika mkubwa wa msoga gang
 
Haukuambiwa kwamba fomu ya ugombea urais itatolewa moja tu kwa CCM na ina jina kabisa?Kwa nini unataka kuanzisha songombingo?
NB;Walimu wameshainunua hiyo fomu.
 
Kama taasisi yake ameshindwa kuisimamia ataweza kusimamia Nchi?CAG Kila mwaka anaibua uozo muhimbili .kwanza kafanya kituko Cha kuweka camera fiche (CCTV)chooni sijui ndiyo aone wagonjwa wanavyokunya. Huduma mhimbili ni mbovu sana kama wewe siyo maarufu au cheo tofauti na Nchi nyingine.Huyo Bora aendelee na kazi yake ya kushauri watu wale maharage na maboga Kwa wingi
 
Ili tunywe chai na pilipili? Fala wewe!!
 
Hii nchi ya majuha kweli, yaani mtu yoyote anaweza kuwa Raisi na mambo yakaenda poa tu.
 

HUU UCHAWA WA KIWANGO CHA KISHOGA KABISA. MFANYE AWE BABA YAKO. AMUOE YOUR MAZER.
 
Prof. Sarungi alikuwaGA mwamba kweri kweri akiwa Mkurugenzi Muhimbili. Watu wakampigia chapuo apewe Uwaziri wa Afya akainyooshe wizara. Kilichotokea, akaishia kupelekwa Wizara ya Ulinzi ili kumfichia aibu!
 
Tatizo la nchi yetu linaanzia hapa, hatujui tunachohitaji, ukweli ni kwamba hatuhitaji mtu bora ila tunahitaji mfumo wa kuongoza nchi uwe bora, mfumo ukiwa wa hovyo hata uweke mtu bora kias gan haichukui round mnaanza kumrushia tena mawe, kwa sasa nchi inaumizwa na mfumo mbovu na wenyew watu wabovu so maumivu square
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…