Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira,

Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipelek
.
 
Back
Top Bottom