Sasa Mkuu ukilinganisha na wapi kutoa mzigo na gharama?!!Wasalaam!
Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?
Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?
Tena kwa njia ya Sea freight utapata mzigo baada ya miezi 3π€π€
Wajuzi wa mambo au Shipping companies mtusaidie tafadhali!
Nawasilisha
Hapana china mzigo wa kg kwa ndege ni dollar 10, kg 2-30 kwa flight tafuta agent mzuriSiyo japan tu hadi china
kumbe! sasa mimi nilikuwa naangalia gharama za usafiri za aliexpress wanaweka hadi 400k kwa 20-30kgHapana china mzigo wa kg kwa ndege ni dollar 10, kg 2-30 kwa flight tafuta agent mzuri
Aramex $54 2KG, nafkiri zipo pia njia nyengine bei rahisi zaidi ukifatilia.Wasalaam!
Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?
Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?
Tena kwa njia ya Sea freight utapata mzigo baada ya miezi 3π€π€
Wajuzi wa mambo au Shipping companies mtusaidie tafadhali!
Nawasilisha
Kg 20-30 kwa 400k ni sawa coz mzigo mkubwa huo mzee.kumbe! sasa mimi nilikuwa naangalia gharama za usafiri za aliexpress wanaweka hadi 400k kwa 20-30kg
Dollar 10 kwa ndege,oyaah ujue ndege ni chaap bei inachangamka kidogoHapana china mzigo wa kg kwa ndege ni dollar 10, kg 2-30 kwa flight tafuta agent mzuri
Unajua kuna baadhi ya bidhaa ukitaka kuagiza/kununua kampuni husika (supplier) anakuwa amesha set shipping courier kwa hiyo mteja inakuwa ngumu kutafuta agency tofauti!Kg 20-30 kwa 400k ni sawa coz mzigo mkubwa huo mzee.
ila tafuta agency nzuri
Hao wajanja wanaweka Price ya Item bei ndogo kukuvutia halafu kwenye Shipping wanaset hela nyingi balaa, mwisho wa siku jumla ya gharama ni ile ile kama kwa seller wengine..Unajua kuna baadhi ya bidhaa ukitaka kuagiza/kununua kampuni husika (supplier) anakuwa amesha set shipping courier kwa hiyo mteja inakuwa ngumu kutafuta agency tofauti!