Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi.

Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu?

Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka ukoo Wenu ukoje.

Pia ndoa haiangalii elimu, ndoa iko pale pale na mifumo ya ndoa ni shule nyingine kabisa ya maisha.

Tunawaomba mliosoma Sana mpaka na PHD mkiingia uwanja WA ndoa, kuweni wapole, JifunzEni Kwa upendo, mama mkwe sio mchawi, mashemeji hawana shida, mawifi sio nuksi, change your mindset

Otherwise mtakuwa vituko Kwa watu

Sasa Kwa mfano huyu dada, mtazamani anampamba buuure, na kumsaidia kumbe elimu imeeendaa 😂😂😂😂
 
Ndoa haina ulazima lakini kwa kuwa wa-Afrika tuna herd mentality, ni ngumu kukubaliana na ukweli.

Leo nimemsikiliza marriage lawyer mmoja, aliongea vitu deep sana.

Kuna watu hawawezi maisha ya ndoa lakini still wanaforce bila kuelewa. "It aint like everything works for everybody".
 
Back
Top Bottom