Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kula chuma hicho master's dada ongeza na phd[emoji1787]
 
Haiolewi Masters, unaolewa wewe.

Nakumbuka miaka hiyo wakati naripoti Mzumbe Chuo Kikuu Main Campus Morogoro na ka-division kangu ka point 5, majamaa wa 2nd year wakawa wanatuambia, "division one zenu ziacheni getini, huku mtanange unabadilika kabisa" [emoji23][emoji23]

Aisee ni kweli mambo yalibadilika, unakuta mtu ana point 3 ila anakimbizwa mbaya kabisa na mtu wa div II.

Back to your thread, same same thing applies when it comes to marriage, Masters yako ibakishe kichwani mwako, ndoa ni swala lingine kabisa mkuu. Si ajabu mtu mwenye Certificate ya kuungaunga akawa wife material tofauti kabisa na wewe na li-Masters lako [emoji2][emoji2]
Atasikia
 
Niachishe...
 
Amicus Curiae ,bila shaka ulikuwa faculty of law.
 
Back
Top Bottom