Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

Nimemsikia vizuri sana, kwa kuwa sisi ni wabantu, hakuna shida 😀
Hahahaah
Basi sawa uje huku
 
Mnachelewa sana kula mkuu. Mwambie awahishe chakula kikichelewa sana saa mbili kamili.
Muda WA taarifa ya habari🚶🚶
 
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Muandishi alikuwa na lengo la kutambulisha haya yanayotokea sasa; jinsia moja kuwa na mahusiano. Na haya maandiko yaliandaliwa na watu kwa malengo maalumu.
 
Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi.

Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu?

Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka ukoo Wenu ukoje.

Pia ndoa haiangalii elimu, ndoa iko pale pale na mifumo ya ndoa ni shule nyingine kabisa ya maisha.

Tunawaomba mliosoma Sana mpaka na PHD mkiingia uwanja WA ndoa, kuweni wapole, JifunzEni Kwa upendo, mama mkwe sio mchawi, mashemeji hawana shida, mawifi sio nuksi, change your mindset

Otherwise mtakuwa vituko Kwa watu

Sasa Kwa mfano huyu dada, mtazamani anampamba buuure, na kumsaidia kumbe elimu imeeendaa
View attachment 2726607
ngoja waje
 
Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi.

Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu?

Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka ukoo Wenu ukoje.

Pia ndoa haiangalii elimu, ndoa iko pale pale na mifumo ya ndoa ni shule nyingine kabisa ya maisha.

Tunawaomba mliosoma Sana mpaka na PHD mkiingia uwanja WA ndoa, kuweni wapole, JifunzEni Kwa upendo, mama mkwe sio mchawi, mashemeji hawana shida, mawifi sio nuksi, change your mindset

Otherwise mtakuwa vituko Kwa watu

Sasa Kwa mfano huyu dada, mtazamani anampamba buuure, na kumsaidia kumbe elimu imeeendaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2726607
Haiolewi Masters, unaolewa wewe.

Nakumbuka miaka hiyo wakati naripoti Mzumbe Chuo Kikuu Main Campus Morogoro na ka-division kangu ka point 5, majamaa wa 2nd year wakawa wanatuambia, "division one zenu ziacheni getini, huku mtanange unabadilika kabisa" [emoji23][emoji23]

Aisee ni kweli mambo yalibadilika, unakuta mtu ana point 3 ila anakimbizwa mbaya kabisa na mtu wa div II.

Back to your thread, same same thing applies when it comes to marriage, Masters yako ibakishe kichwani mwako, ndoa ni swala lingine kabisa mkuu. Si ajabu mtu mwenye Certificate ya kuungaunga akawa wife material tofauti kabisa na wewe na li-Masters lako [emoji2][emoji2]
 
Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi.

Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu?

Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka ukoo Wenu ukoje.

Pia ndoa haiangalii elimu, ndoa iko pale pale na mifumo ya ndoa ni shule nyingine kabisa ya maisha.

Tunawaomba mliosoma Sana mpaka na PHD mkiingia uwanja WA ndoa, kuweni wapole, JifunzEni Kwa upendo, mama mkwe sio mchawi, mashemeji hawana shida, mawifi sio nuksi, change your mindset

Otherwise mtakuwa vituko Kwa watu

Sasa Kwa mfano huyu dada, mtazamani anampamba buuure, na kumsaidia kumbe elimu imeeendaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2726607
Njoo pm
 
Back
Top Bottom