"Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME) Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱 Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶 Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na...