HIVI KWANINI SISI MASIKINI NI MABINGWA WA MANIPULATION??

HIVI KWANINI SISI MASIKINI NI MABINGWA WA MANIPULATION??

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Manipulation is to control or play upon by hurtful, unfair, or insidious means especially to one's own advantage.
Sikatai hii ni sehemu ya driving force ya ulimwengu huu ili mambo yaende.

Ila mbona sisi masikini ndo Kama tume iona ndo mbinu pekee ya ku survive??

Niko njiani kutokea mkoa fulani, toka naanza safari naona ni pigo za kiwaki tu !!

Je Hatuwezi kuishi kistaarabu !, Iwe kwenye kazi ni kuunga unga, kwenye mahusiano ndo janga la taifa.
Tena ngazi ya familia hapa ndo Utaona ni Kama mawindo aisee.

Sehemu za kutoa huduma, mtoa huduma ana tafuta mbinu ya kukupiga ili tu aji faidishe!!

Nadhani tuki pima mzani wa hili Jambo, masikini tuna shida Sana aiseee!!

Jobless pro max, I mean no malice to nobody.
Screenshot_20240206-133557_1.jpg
 
Ndivyo tulivyo by default factory settings. Mtanzania lazima akupige. Hata wewe ukipata nafasi lazima utengeneze mazingira ya kupiga 🤣. Hii ipo kwenye damu kabisa. Ukiona mtanzania sio mpigaji ujue hajapata nafasi. Akipata nafasi lazima akupige 🤣
 
Back
Top Bottom