kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses,
Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?
Cc Mshana Jr