Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).

Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?

Cc Mshana Jr
Kwa hiyo kuwa mlevi na kuvuta unga ndo starehe.....aisee!
 
nioneshe mlevi mwenye afya nzuri
Nioneshe mvuta unga mwenye afya nzuri
 
Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).

Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?

Cc Mshana Jr
Kuna baadhi sio dhambi bali ni kanuni na mazuio yaliyowekwa na wanadamu kupitia milango ya dini na mamlaka za kidunia.. Huko mbinguni ni furaha tupu na furaha inamaanisha bata
 
Hapa mpaka uoe ndoa inayotambulika msikitini, ila huko majuu hiko kitu hakuna unajipimia tu afu sio threesome ni gangbang
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).

Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?

Cc Mshana Jr
Ni sahihi kabisa starehe nyingi zinasemekana kuwa ni dhambi. Hiyo inatokana na ukweli kwamba starehe nyingi huwaelekeza wanaostarege kutenda dhambi. Sasa, kabla hatujaangalia ni kwa vipi starehe inaongoza watu kutenda dhambi, tujiulize, dhambi ni nini? Dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu. Starehe nyingi huwaelekeza watu watende (au waseme mambo ya dhambi. Kwa mfano starehe nyingi huwaelekeza watu kuzini, au kuiba, au kusema uongo, n.k. Kwa hiyo utaona uasi wa sheria ya Mungu (dhambi) unatokana na kujihusisha na starehe.
 
Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).

Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?

Cc Mshana Jr
Starehe haramu ni tamu sana na hizo kuzifanya ndiyo dhambi ama makosa ya kisheria.

So si kila starehe ni dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana niliona clip ya sheikh mmoja akisema peponi kutakuwa kuna pombe, akiwahimiza waislamu wajitahidi kuswali kwa hali na mali waingie peponi

At the sane time akawa ana wahusia waache kunywa pombe ya hapa duniani kwasababu pombe ni dhambi itayopelekea wasiipate pepo yenye hizo pombe

Nilicheka
Dhambi ni duniani tu,yaani tuishi kwa utaratibu usiovuruga jamii Wala kujidhuru,maisha ya akhera(pepo/Moto) ni tofauti na haya,tunaona madhara ya pombe hapa duniani,hakuna anaesema mlevi ni mtu wa maana,achilia mbali madhara ya kiafya
 
Nikifikiria sometime kwa jinsi wanavyo hadithia maisha ya huko peponi jinsi ya starehe zilivyo naona huko ndio kutakua na dhambi kuliko huku

Imagine huku ukiwa na wanawake zaidi ya watano ni dhambi, ila peponi kuwa na wanawake 72 ni sunna.

Haya tena kama haitoshi huko juu sehemu ambayo tunaambiwa kua ni takatifu sheikh anasema huko kuna pombe, kiukweli wanatuchanganya sana
No wewe ndo unajichanganya na pengine concept ya kupata pepo hujapata ina kusudio gani...

Pengine unachanganya concept ya pepo za dini nyingine na concept ya pepo ya kiislamu.

Utakatifu wa jambo unatafsiriwa na hilo jambo lenyewe kwa sababu neno takatifu kila mtu ana maana yake.
 
Kuna baadhi sio dhambi bali ni kanuni na mazuio yaliyowekwa na wanadamu kupitia milango ya dini na mamlaka za kidunia.. Huko mbinguni ni furaha tupu na furaha inamaanisha bata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu taja kwa uchache.
 
Sitarehe sio zambi labda kama inawakera watu na kuwaumiza watu ndio zambi lakini hata sitarehe ya wawili mkiifanya kwa mapenzi yenu hamjakwaza mtu sio dhambi hata mkiamua kufunguana vizibo sio zambi maana hamjakwazana wala hajuna aliye kwazika
 
Back
Top Bottom