kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nani anakuzuia hizo threesome na gangbang. Si ni pesa yako tu.Hapa mpaka uoe ndoa inayotambulika msikitini, ila huko majuu hiko kitu hakuna unajipimia tu afu sio threesome ni gangbang
mi makovu
Pombe kwa kiasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu taja kwa uchache.
Jana niliona clip ya sheikh mmoja akisema peponi kutakuwa kuna pombe, akiwahimiza waislamu wajitahidi kuswali kwa hali na mali waingie peponi
At the sane time akawa ana wahusia waache kunywa pombe ya hapa duniani kwasababu pombe ni dhambi itayopelekea wasiipate pepo yenye hizo pombe
Nilicheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pombe kwa kiasi
Kama uli cheka Basi ni Hali yako mkuu maana huja elewa kilicho maanishwa hapo , mkuu nakupa Siri Kama ulikua hujui huyo uliyemsikiliza kwa imani Yao Wana hifadhi kitabu kizima kichwani sio " a single verse" labda ungemuuliza vizur hyo sheikh mwisho wa hiyo sura na maana nzima ya hyo sura labda unge pataJana niliona clip ya sheikh mmoja akisema peponi kutakuwa kuna pombe, akiwahimiza waislamu wajitahidi kuswali kwa hali na mali waingie peponi
At the sane time akawa ana wahusia waache kunywa pombe ya hapa duniani kwasababu pombe ni dhambi itayopelekea wasiipate pepo yenye hizo pombe
Nilicheka
Ebwana mkuu ume think deep sana maana wengine hawezi kwa kukazia ni hv pombe ni baba wa maasi" father of sin " hiyo ni kwa kifupi hii ileweke na hii pombe haikuanza juzi wala jana na inapendwa sana vizazi na vizazi pia kwa ndugu zangu na wapa ( Siri ) pombe kukatzwa au kuharamishwa haikua like accident, how?, It's pass different stages , why ?, People they don't see any problem about that ( alcohol) but finally realized their wrong about drinking alcohol , then what next ?, Hapo ndio muumba wa vyote ( ALLAH ) aka sema pombe ni harama ili Hali nyoyo zao tayari zilisha ichukia baada ya kuona madhara , hyo ni katika quraan. But kila mtu ana jua madhara ya pombe. Na pia pombe isha wapa watu majanga na watu washafanya ya sio faa Kuna kisa huwa hadi nacheka maana mwenye hicho kisa ni mcheshi na hana aibu ila ni huzuni kubwa snaKwa mtazamo wangu nadhani or nafikiri Mungu aliposema pombe ni dhambi na utakuwa unafanya kosa ukinywa wakati huo huo akasema peponi kuna pombe nadhani,,..
Ni sawa na ww sasa hivi ambavyo huwezi kumruhusu mtoto wako Mdogo wakuanzia mwaka mmoja anywe pombe or umpe pombe badala ya maziwa.
Hata huyo wa miaka kumi huwezi kumruhusu anywe pombe sababu ya madhara atakayopata ikiwemo kuwa addictive wa pombe na kushindwa kufanya yampasayo kama kusoma ili awe na elimu bora itakayomsadia..
Ww sasa hivi ni MTU mzima una akili timamu unakunywa pombe japo ukizidisha zinakuzingua kama kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kujikojolea,kujinyea,kutukana hovyo nk lakini ulipokuwa Mdogo wazazi wako hawakukuruhusu kunywa pombe..
So nadhani Mungu anatujua zaidi kuliko tunavyojijua,na anaijua pombe pia zaidi kuliko sisi tunavyoijua.Kuna vitu vingine unamkataza tu mwanao kuwa acha usifanye hivi bila kumwambia kwann asifanye sababu ya uwezo wake Mdogo wa kuelewa mambo ila anapokuwa mtu mzima yeye Mwenyewe anajua kwa nn baba alinikataza.
kunakitu kinaitwa "MADHARA YAKE"Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?
Cc Mshana Jr
Mkuu hiyo kitu in real ni dhambi ukinywa we kunywa tu , mimi sio mchambuzi wa msomi wala sheikh ila huo ndio ukweli maana hv kwa imani ya ki kristo mtu akijiua ni dhambi ?, Ata uona ufalme wa bwana kwa kujia?, Ya tosha kujua madhara ya pombe direct au in direct , passive au active na ndio maana ktk ukristo Kuna makundi ya wanayo kubali na wengine wana kataa, ila kwa wa islamu jamii zote ni haramu.Pombe kwa kiasi
Kumbe haina haja ya kuweka soba house kumbe zina sababisha umasikiniHello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?
Cc Mshana Jr
Trust me kwa kiasi haina dhambi kwakuwa pombe haiwi dhambi bali matendo yatokanayo na pombeMkuu hiyo kitu in real ni dhambi ukinywa we kunywa tu , mimi sio mchambuzi wa msomi wala sheikh ila huo ndio ukweli maana hv kwa imani ya ki kristo mtu akijiua ni dhambi ?, Ata uona ufalme wa bwana kwa kujia?, Ya tosha kujua madhara ya pombe direct au in direct , passive au active na ndio maana ktk ukristo Kuna makundi ya wanayo kubali na wengine wana kataa, ila kwa wa islamu jamii zote ni haramu.
I trust you but you should real trust , huwezi tenganisha pombe na matokeo yake iwe direct au In direct . Kuna kisa kimoja , jamaa alilewa chakali usiku then aka lala getho kwake , asubuhi ali amka nazo bwii Sasa kwa kuwa ali hisi njaa akaona bora apike ugali mwingi (mkubwa) na dagaa ili ale , baada ya kupika kila kitu na kuweka mezani aka ona si vyema ale bila ya kuzimua kichwa , Sasa hyo kuzimua ndio ilikuwa Safari yake ya mwisho , na alikua anaishi peke yake , HV mkuu wangapi wanauza utu kwa hiari au lazima kisa pombe?, Kuna kisa Cha kijana Kama sikosei ni Moshi ali gongewa mlango na majaa ili wa kampe ofa ya pombe lakini kilochotokea watu Waka pita na marinda yakeTrust me kwa kiasi haina dhambi kwakuwa pombe haiwi dhambi bali matendo yatokanayo na pombe
Hicho kilichomtokea ni ajali kutokana na kukosa umakini...I trust you but you should real trust , huwezi tenganisha pombe na matokeo yake iwe direct au In direct . Kuna kisa kimoja , jamaa alilewa chakali usiku then aka lala getho kwake , asubuhi ali amka nazo bwii Sasa kwa kuwa ali hisi njaa akaona bora apike ugali mwingi (mkubwa) na dagaa ili ale , baada ya kupika kila kitu na kuweka mezani aka ona si vyema ale bila ya kuzimua kichwa , Sasa hyo kuzimua ndio ilikuwa Safari yake ya mwisho , na alikua anaishi peke yake , HV mkuu wangapi wanauza utu kwa hiari au lazima kisa pombe?, Kuna kisa Cha kijana Kama sikosei ni Moshi ali gongewa mlango na majaa ili wa kampe ofa ya pombe lakini kilochotokea watu Waka pita na marinda yake
Ivi ayo maneno ya mashekh ya kuwafariji kondoo kwamba ukienda peponi unapewa wanawake 70 na je akifa mwanamke anaenda kupewa mabwana wangapi maana naona kama inaukakasi