Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Sijaelewa maana ya dhambi kulingana na maelezo yako lakini Kama unamaanisha dhambi ni negative ili ukamilifu upatikane lazima positive iwepo.Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?
Cc Mshana Jr