kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hata mie nilishakutana na shehe huko youtube anasema peponi kila mtu anapewa wanawake kadhaa(alitaja idadi ila sikumbuki vzr). Daaah sasa hapo ndo nachanganyikiwa ni kwamba duniani tunahangaika ili tukale raha baadae ama. Na je huko starehe kama lap dance, stimulants etc zipo?Jana niliona clip ya sheikh mmoja akisema peponi kutakuwa kuna pombe, akiwahimiza waislamu wajitahidi kuswali kwa hali na mali wagike penoni
At the sane time akawa ana wahusia waache kunywa pombe ya hapa duniani kwasababu pombe ni dhambi itayopelekea wasiipate pepo yenye hizo pombe
Nilicheka
Sunnah sheikhHata mie nilishakutana na shehe huko youtube anasema peponi kila mtu anapewa wanawake kadhaa(alitaja idadi ila sikumbuki vzr). Daaah sasa hapo ndo nachanganyikiwa ni kwamba duniani tunahangaika ili tukale raha baadae ama. Na je huko starehe kama lap dance, stimulants etc zipo?
Sawa hizo za kinyume na asilia kweli ni dhambi, lakini em tuangalie kitu kama bhangi(marijuana), ni kitu iko natural kabisa. Alieigundua aliikuta imeota tu kama magugu. Kila kitu kwenye nature kina umuhimu wake, bhangi haina matumizi ya kuwa chakula japo inaonekana kama zao so matumizi yake ni kustarehesha ubongo kwa namna fln. Sasa kwa nn iwe dhambi. Kuna mifano mingi ya starehe zilizo sawa na nature ila tunaziona kama dhambi kwa sababu ya ideologies flnfln.Inategemea na machukulio yako,kwangu vitendo ambavyo sio un natural ndio tatizo na hizo ndio sheria mama mfano huwezi kulia jicho!.
Vipo vitu vinahitaji kipimo vipo vyengine havifai hata kipimo kabisa!. Kila starehe inamazingira yake na staha zake ukizipitiliza inaleta tabu na shida,dhambi kwangu ni kwenda kinyume na mazingira.
Nishakujibu mkuu haya Mambo yanategemea na mapokeo ya mtu.Sawa hizo za kinyume na asilia kweli ni dhambi, lakini em tuangalie kitu kama bhangi(marijuana), ni kitu iko natural kabisa. Alieigundua aliikuta imeota tu kama magugu. Kila kitu kwenye nature kina umuhimu wake, bhangi haina matumizi ya kuwa chakula japo inaonekana kama zao so matumizi yake ni kustarehesha ubongo kwa namna fln. Sasa kwa nn iwe dhambi. Kuna mifano mingi ya starehe zilizo sawa na nature ila tunaziona kama dhambi kwa sababu ya ideologies flnfln.
Hapa mpaka uoe ndoa inayotambulika msikitini, ila huko majuu hiko kitu hakuna unajipimia tu afu sio threesome ni gangbangHata mie nilishakutana na shehe huko youtube anasema peponi kila mtu anapewa wanawake kadhaa(alitaja idadi ila sikumbuki vzr). Daaah sasa hapo ndo nachanganyikiwa ni kwamba duniani tunahangaika ili tukale raha baadae ama. Na je huko starehe kama lap dance, stimulants etc zipo?
Nikifikiria sometime kwa jinsi wanavyo hadithia maisha ya huko peponi jinsi ya starehe zilivyo naona huko ndio kutakua na dhambi kuliko hukuStarehe nyingi ni Source Of Evils, ndio maana zimeharamishwa ili kujikinga na hizi kufuru za hapa duniani.
Mfano ukinywa pombe utajikuta unatamani kufanya zinaa hata kama haukua na wazo hilo before.
Ukiwa teja au mvuta bangi siku ukikosa utatamani kuiba nk.
Over!
Heeeheeee Michezo ya kina Mia Khalifa na John 'dhambi' au sio....Hapa mpaka uoe ndoa inayotambulika msikitini, ila huko majuu hiko kitu hakuna unajipimia tu afu sio threesome ni gangbang
noma sanawanawake 72 ni sunna.
vitu vingi ni dhambi kwasababu vinakupelekea kufanya dhambi.Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga kosa, etc.... wakati zote hizo ni starehe zinazofanya maisha yawe rahisi kdg. Kuna mda najiuliza watu tuko duniani kuhangaika tu ama?
Cc Mshana Jr
Hapa duniani ni kama tupo kwenye kipimo hasa kwenye swala zima la imani so kama utafaulu vizuri basi huko tuendako utaenda kupokea matunda ya vile utakavyokua umefaulu huku duniani, ndio maana utakuwa free kufanya starehe zozote zitakazokuepo bila kipimo coz hakutakua na swala zima la dhambi tena.Nikifikiria sometime kwa jinsi wanavyo hadithia maisha ya huko peponi jinsi ya starehe zilivyo naona huko ndio kutakua na dhambi kuliko huku
Imagine huku ukiwa na wanawake zaidi ya watano ni dhambi, ila peponi kuwa na wanawake 72 ni sunna.
Haya tena kama haitoshi huko juu sehemu ambayo tunaambiwa kua ni takatifu sheikh anasema huko kuna pombe, kiukweli wanatuchanganya sana
Jana niliona clip ya sheikh mmoja akisema peponi kutakuwa kuna pombe, akiwahimiza waislamu wajitahidi kuswali kwa hali na mali wagike penoni
At the sane time akawa ana wahusia waache kunywa pombe ya hapa duniani kwasababu pombe ni dhambi itayopelekea wasiipate pepo yenye hizo pombe
Nilicheka