Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

Sijaelewa maana ya dhambi kulingana na maelezo yako lakini Kama unamaanisha dhambi ni negative ili ukamilifu upatikane lazima positive iwepo.
 
Ivi ayo maneno ya mashekh ya kuwafariji kondoo kwamba ukienda peponi unapewa wanawake 70 na je akifa mwanamke anaenda kupewa mabwana wangapi maana naona kama inaukakasi
 
nami nimecheka😂😂😂😂
 
MUNGU aliumba majani Kwa ajili ya chakula na Tiba,lakini mwanadamu akajitengenezea Sheria na kuyaita haramu majani hayo..kuna muda binadamu huyafanya maisha kuwa magumu sn,tafakari

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nasita kusema kuwa dhambi ni Jambo lolote ambalo ni chukizo mbele ya wenzio na jamii yako. Hivyo Kama mmekubaliana hiyo ni halali. Ila napata ukakasi kwa kuwa mnaweza jamii yote mkakubaliana Jambo Fulani lakini kumbe ni dhambi "chukizo" mbele ya Muumba! Hivyo dhambi ni dhambi tu!
 
Nakukumbusha,muujiza wa Kwanza kabisa kufanywa na Yesu ulikuwa kugeuza maji kuwa pombe harusini pale mjini kanna baada ya kuambiwa na mamaake pombe imeisha.Unaambiwa Hadi mgeni rasmi alipoionja pombe ya muujiza alisifia ni konki kuliko zote alizowahi kunywa before

Pia mfalme Suleiman alikuwa na wanawake zaidi ya buku,wakiwemo wake wa ndoa na michepuko kibao

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Alitokea kapuku mmoja mwenye wivu akaamua kutisha wenzie ili wataabike pamoja,hakuna dhambi ni kuzingatia katika starehe zako what is right or wrong na kuzingatia afya yako basi
Yan mtu ninywe bia kwa pesa yangu ni dhambi ?
 

tatizo lako si muelewa au hukulelewa na mama . wewe umeumbwa na nani? huyo aliyekuumba sindio kasema usikaribie hizo starehe zina madhara . wewe na aliyekuumba nani anajua zaidi? mbona hujadili maumbo yako jinsi alivyokuumba. sheikh kasema kuna pombe peponi hivi akili yako peponi kutakuwa na mataputapu pombe aliekuandalia mungu ni sawa na mbege ya rombo? pombe ya peponi haikubadilishi akili hautukani hukojoi ovyo haina harafu ya mavi kama hizi mnazokunywa. sinakupa nguvu zinakuburudisha kwa jinsi mungu anavyo taka. acha kumjadili mungu wajadili wanasiasa
 
Pombe ya huko inadaiwa cyo Kama hii ya duniani inasababisha kuvuluga ubongo
 
Mimi sijaumbwa
 
Hizi ni porojo tu.
 
Ni kwa sababu starehe nyingi zinaishia kwenye uharibifu either kwa mtu anayezifanya,familia yake au taifa.

Ukila madawa ya kulevya mwisho wake unajulikana,ukiwa mlevi kupindukia mwisho wake pia sio mzuri,ukiendekeza zinaa kuna maradhi na mimba zisizotarajiwa but kama starehe yako ni ngono you can get married and enjoy it everyday bila lawama.

Starehe nyingi leads to destruction.
 
Mbona kula pilau kuku sio dhambi?
 
[emoji3][emoji3]
 
Ivi ayo maneno ya mashekh ya kuwafariji kondoo kwamba ukienda peponi unapewa wanawake 70 na je akifa mwanamke anaenda kupewa mabwana wangapi maana naona kama inaukakasi
Ukakasi saaaana!
 
Kwa mtazamo wangu nadhani or nafikiri Mungu aliposema pombe ni dhambi na utakuwa unafanya kosa ukinywa wakati huo huo akasema peponi kuna pombe nadhani,,..
Ni sawa na ww sasa hivi ambavyo huwezi kumruhusu mtoto wako Mdogo wakuanzia mwaka mmoja anywe pombe or umpe pombe badala ya maziwa.
Hata huyo wa miaka kumi huwezi kumruhusu anywe pombe sababu ya madhara atakayopata ikiwemo kuwa addictive wa pombe na kushindwa kufanya yampasayo kama kusoma ili awe na elimu bora itakayomsadia..

Ww sasa hivi ni MTU mzima una akili timamu unakunywa pombe japo ukizidisha zinakuzingua kama kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kujikojolea,kujinyea,kutukana hovyo nk lakini ulipokuwa Mdogo wazazi wako hawakukuruhusu kunywa pombe..
So nadhani Mungu anatujua zaidi kuliko tunavyojijua,na anaijua pombe pia zaidi kuliko sisi tunavyoijua.Kuna vitu vingine unamkataza tu mwanao kuwa acha usifanye hivi bila kumwambia kwann asifanye sababu ya uwezo wake Mdogo wa kuelewa mambo ila anapokuwa mtu mzima yeye Mwenyewe anajua kwa nn baba alinikataza.
 
Starehe unakunywa mpaka unalewa, unakula mpaka unavimbiwa, vyakula vingine unamwaga na wengine wamelala njaa! Hizi ndizo dhambi. Ukilewa unaparamia mpaka wake za watu! Ni uuuuungwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…