Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

Wakati huo unaambiwa unapewa mabikira 70 ilhali unahimizwa usini ili uende pepon kwenye hao mabikra
 
Si shetani kajiongeza katia utamu ili kunogesha!!! ila mwisho wake yeye mwenyewe anakubamiza
 
Mkuu; Bangi ni Chakula na pia ni Dawa. Matumizi sahihi ya bangi yakizingatiwa ni Neema. Watu (baadhi) wamei-missuse na hivyo kupelekea iwekewe marufuku. Zipo nchi zimeshahalalisha kilimo chake na inazalishwa/inalimwa kibiashara kama inavokuwa kwa Tumbaku.
Dhambi imo Moyoni/Rohoni mwa mtu.
 
MUNGU aliumba majani Kwa ajili ya chakula na Tiba,lakini mwanadamu akajitengenezea Sheria na kuyaita haramu majani hayo..kuna muda binadamu huyafanya maisha kuwa magumu sn,tafakari

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Umenena sawa kabisa mkuu. Imeandikwa ... Mungu akaona kila kitu alichofanya kuwa ni chema kabisa.(Mw 1;31) Kwa mantiki hiyo, shida iko ni sisi Binadamu wenyewe. Hakuna kitu Mungu aliumba kwa bahati mbaya- NEVER.
 
Chochote dini ilichokataza ni dhambi na kina madhara.
_zinaa.
_Pombe.
_wizi.
_uongo.
_unafiki nk.

Ndy maana vitabu vya dini vinasema "

Dunia ni kama jela kwa watu wema na wanaomcha Mungu.
Na kwa watu wasiomjuwa Mungu ndy Pepo yao hapa duniani.
 
Wakati huo unaambiwa unapewa mabikira 70 ilhali unahimizwa usini ili uende pepon kwenye hao mabikra
Kwani wewe unaona wivu nini mkuu muislamu akipewa syo bikra Kama ujuavyo wewe Bali ni ( nurlain) 70 elfu ?, Maana bikra tu syo sifa ya wanawake wa peponi maana hata Mama yesu nae ni bkra , na si hvo tu bali starehe ni nyingi mno
 
Hicho kilichomtokea ni ajali kutokana na kukosa umakini...
Kwa kisa kipi hicho Cha 1 au cha pili, labda nikwambie tu HV kwa utuuzima wako na pilika pilika zako toka upo dogo hadi leo hujawahi kusikia mtu kalewa then akafualiwa marinda bila wasiwasi tena ukimwimbia kama umeliwa marinda ata SEMA HV " hawaja nifanya Mimi Bali waaliifanya pombe
 
Dah. Wasinywe pombe kwa sababu, Pombe itawakosesha pepo yenye pombe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameeleweka Sheikh
 
Hao hawana tofauti na wale wanaomlewesha mtu ili wamle.. Hizo ni tabia ulevi ni kisingizio.. Pombe ina kanuni zake tatu ukizikiuka haikufai
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…