Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Sasa inakuwaje waziri wa Afya wa Tanzania (Ummy Mwalimu) anatoa tena taarifa za Corona za Zanzibar?Hizi ni nchi mbili tofauti, lila moja ikiwa na wizara yake ya afya, Tanganyika waziri ni Ummy Mwalim na Zanzibar waziri ni Hamad Rashid.
Wanaosema Zanzibar sio nchi wasubiri Kagera nayo ianze kutoa taarifa zake za Corona.
Ana kiherehere mkuuSasa inakuwaje waziri wa Afya wa Tanzania (Ummy Mwalimu) anatoa tena taarifa za Corona za Zanzibar?
Katumwa na nani?
Amepata wapi hayo mamlaka?
Acha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.Hizi ni nchi mbili tofauti, kila moja ikiwa na wizara yake ya afya, Tanganyika waziri ni Ummy Mwalim na Zanzibar waziri ni Hamad Rashid.
Wanaosema Zanzibar sio nchi wasubiri Kagera nayo ianze kutoa taarifa zake za Corona.
Napotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??Acha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Afya sio suala la muungano,acha mambo ya kitoto.Napotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??
Hili ni janga baya sana acheni utoto na mzaha. Wenzenu huko Us na Uk wameweka siasa kando. Nyie mnaleta upuuzi.Napotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??
Afya sio suala la muungano,acha mambo ya kitoto.
Wewe mwehu nini?? Sasa si umwambie alieleta uzi.Hili ni janga baya sana achenin utoto na mzaha. Wenzenu huko Us na Uk wameweka siasa kando. Nyie mnaleta upuuzi.
Sasa kama sio suala la muungano mbona ummy mwalim analizungumzia na huku Zanzibar??Afya sio suala la muungano,acha mambo ya kitoto.
Hili suala lipo wazi Zanzibar sio dola hulu. Kwa hiyo haiwezi kujiunga na jumuia kama WHO. Hizi taarifa zinapotolewa hata WHO wanatakiwa wapewe. Kwa hiyo lazima zitoke kama za nchi moja kama Tanzania.Sasa kwanini umi anaunganisha taarifa ya zanzibar na tanganyika?
Nenda kalale.Sasa kama sio suala la muungano mbona ummy mwalim analizungumzia na huku Zanzibar??
Sio dola hulu??? Dola hulu ndio nini???Hili suala lipo wazi Zanzibar sio dola hulu. Kwa hiyo haiwezi kujiunga na jumuia kama WHO. Hizi taarifa zinapotolewa hata WHO wanatakiwa wapewe. Kwa hiyo lazima zitoke kama za nchi moja kama Tanzania.
Nenda kanyonye.Sio dola hulu??? Dola hulu ndio nini???