Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Tanzania au Tanganyika ?Napotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??
Tanzania au Tanganyika ?Napotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??
Vatican ni nchi kamili ndani ya Italiakama ilivyo Monaco kwa ufaransa..Vaticani kwa italy ...na Zanzibar watoe idadi yao nasi tutoe idadi yetu kama Tanzania maana naona Zanzibar wanazua taharuki..kila MTU atoe na kurekodi takwimu zake na zikipelekwa John khoping university kila mamlaka icompile data zake.