Hivi kwanini taarifa ya Corona kwa Tanzania bara na Zanzibar isiwe moja tu?

Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.
Kwani wazanzibari wanatambulika ,WHO?
Kila kitu mnataka kufanya siasa tu,taarifa za hamad Rashidi zinaishia chumbe tu,ndio maana taarifa ya ''mama ya corona'' inajumlisa na ya zanzibar kupeleka WHO kwa ajili ya global darabase
 
Acha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Rais Wa Tanganyika ni nani.. !!?? Maana ni Muungano Wa Zanzibar Rais wao yupo na Tanganyika Rais Wa Tanganyika ni nani !!?? Magufuli ni Wa Muungano
 
Ugumu unaufanya wewe tu. Jambo la kutangaza data za nchi moja lina tatizo gani? Au ulitaka waziri wa Zanzibar ndio atangaze ili ufurahi? Nchi hizi zimeungana na ni umoja na ushirikiano wa nguvu. We unaona Tatizo gani data zikitangazwa kwa pamoja?
 
Acha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Umemaliza mjadala.Shukrani kutufahamisha.Wasomi kama nyinyi ndio tunaowahitaji,kutupa maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa inakuwaje waziri wa Afya wa Tanzania (Ummy Mwalimu) anatoa tena taarifa za Corona za Zanzibar?
Katumwa na nani?
Amepata wapi hayo mamlaka?
Ummy anasimama Kama waziri wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Zanzibar,hivyo taarifa zake zinacombine pande zote
 
Hakuna kitu frustrating kama sensation ya uzanzibar. Wenye akili zao washaachana na hizi ideation. Yani kwenye kitambulisho chenyewe cha m/mkazi , uraia ni mtanzania.taifa la Zanzibar ni hadithi za kufikirika kwasasa. Hata uwe emotional kiasi gani u won't change anything.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar +Tanganyika =Tanzania. Ndio maana unaona zinaunganishwa.
Asa mbona zanzibar wanatangaza za kwao?? Kama ni hivyo awepo wa kutangaza na za tanganyika then ndio waunganishe zitangazwe za tanzania...

Na aamini umepata
 
Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amekuwa akitoa taarifa za Corona kwa Tanzania nzima (ikiwemo Zanzibar) na wakati huo huo Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid akitoa taarifa za Corona kwa Zanzibar.

Ni kweli tunajua suala la Afya sio suala la muungano, hivyo Zanzibar wako sahihi na wanayo haki ya wao kulisemia bila mamlaka za serikali ya muungano kuwaingilia, lakini busara ingeweza kutumika kwa suala hili kubakia kusemewa na waziri wa Tanzania tu ili kuepusha mchanganyo wa kitaarifa kwa dunia inayofuatilia suala hili kwa karibu mnoo.

Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.

Busara ianze kutumika sasa, huko tunakoelekea ipo hatari ya mmoja kumharibia mwingine taarifa zake pasipo kukusudia.

Kwa nini kusiwe na busara hilo suala likaongewa na waziri wa Zanzibar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa mbona zanzibar wanatangaza za kwao?? Kama ni hivyo awepo wa kutangaza na za tanganyika then ndio waunganishe zitangazwe za tanzania...

Na aamini umepata
We kinachokuchanganya nini? Sabanu wanaweka wazi kabisa Zanzibar kiasi hiki, na Mainland kiasi hiki. We unatakiwa upate takwimu tu hayo mengine ya nini?
 
Jana wamesema case zimefikia 32 sasa hapo zanzibar ni wangapi na tanganyika ni wangapi
 
Hizi ni nchi mbili tofauti zinazounganishiwa na mfumo wa kisiasa tuu... Mengine yote kila moja inajitegemea
Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amekuwa akitoa taarifa za Corona kwa Tanzania nzima (ikiwemo Zanzibar) na wakati huo huo Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid akitoa taarifa za Corona kwa Zanzibar.

Ni kweli tunajua suala la Afya sio suala la muungano, hivyo Zanzibar wako sahihi na wanayo haki ya wao kulisemia bila mamlaka za serikali ya muungano kuwaingilia, lakini busara ingeweza kutumika kwa suala hili kubakia kusemewa na waziri wa Tanzania tu ili kuepusha mchanganyo wa kitaarifa kwa dunia inayofuatilia suala hili kwa karibu mnoo.

Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.

Busara ianze kutumika sasa, huko tunakoelekea ipo hatari ya mmoja kumharibia mwingine taarifa zake pasipo kukusudia.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom