MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Nimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu, kaka yangu ni Kichaa kabisa anaokota Makopo huko kijijini kwetu na sababu kubwa ni baada ya mkewe kuanzisha Migongo ndani na mwisho kaka akachoka akataka waachane, Sasa mwanamke akataka Wagawane Mali Nusu Kwa Nusu, Sasa baada ya migogoro hiyo ya muda mrefu ikafikia hatua kaka akaona ni Bora amuachie mke wake Mali zote kuliko kugawana, siyo kwamba kaka alifanya hivyo Kwa kupenda Hapana bali ni kama alisusa alihisi kama Wana Sheria Wana muonea.
Hazikupita siku tatu tukapewa taarifa kuwa kaka yupo mtaani hajielewi, tume hangaika naye toka 2023, mwaka Jana tukaona Bora tumrudishe kijijini, mpaka muda huu yupo huko na mama tuna watumia Matumizi tu japo yeye kaka ni Kichaa kabisa.
Kaka alikuwa na nyumba tatu, mbili alizipata akiwa bado hajaoa , na Moja ndo walijenga wakiwa pamoja, alikuwa na duka Moja la spea na duka Moja la vipodozi ambalo ndo alikuwa anakaa mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu hizo Biashara zote zime Fungwa, shemeji amezimaliza ndani ya miaka Mitatu tu amebakia na hizo nyumba tatu, na walikuwa na watoto watatu.
Kinacho niumiza siyo Mali za kaka, ni kuona kaka yangu akiwa kwenye hali Ile wakati alikuwa ni mtu tegemeo kwenye familia yetu, haya mambo yana umiza sana, serikali Ina wasikiliza sana wanawake ila wanaume wanakosa watetezi.