Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

Huo muda wa mwanamke kukupenda siku hizi anautoa wapi? Wengi wao siku hizi wanajali pesa tu.

Penye miti mingi hapana wajenzi
You can't see what the mind doesn't know(si KILA mwenye macho anaona..Wana macho lakini hawaoni)

tumefika hapa (mfano NCHI ya THAILAND na NCHI nyingine wameshafika hapa)
Isa 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Hata kama mwanamke ninayempenda ni MZURI kama malaika na mabawa yake anaruka juu,hata kama ana pisi Kali ya NAMNA Gani..AKISHANILETEA TU DHARAU.. KIBURI..ASIPONIHESHIMU(Yani anakwambia Mimi usinione hivi kama WEWE unaniona WA Nini WENZAKO WANAJIULIZA WATANIPATA LINI??

kwanza si jui ilikuwaje mpaka nikazaa na WEWE,si jui siku hiyo nilipatwa na Nini ,hivi ulinipataje hata sijui?

SIWEZI KUVUMILIA DHARAU kuishi na mke asiyeniheshimu hata kama moyo unampenda..AKILI itakataa..labda niwe chizi..kama Nina AKILI TIMAMU sitaweza kuvumilia.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Si KWELI kwamba siku hizi hakuna wife materials ,si KWELI siku hizi wanawake wote wanaoenda PESA,si KWELI siku hizi hakuna wanawake wenye UPENDO WA dhati na WA KWELI.

Penye miti mingi hapana wajenzi
You can't see what the mind doesn't know(si KILA mwenye macho anaona..Wana macho lakini hawaoni)

tumefika hapa (mfano NCHI ya THAILAND na NCHI nyingine wameshafika hapa)
Isa 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
 
Sasa mkali ulishindwaje kununua kesi ya familia hiyo umuokoe Broda?
Mpeleke kwanza brother hospital ,mwananyamara kitengo Cha magonjwa ya akili atapona siku hizi dawa zipo za changamoto za afya ya akili akishapona then mengine yanawezekana
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Huwa nikiona comment kama hii huwa nakuona bado hujakoma akili,hawa viumbe tuna bifu Lao kubwa toka kwenye bustani ya edeni hilo bifu bado linaendelea mpaka duniani na shetani ndo yupo kati kama judge kuchukua points zake,mwanamke anaweza kuku akitia anakupenda hata miaka 10 siku akibadilika ndo utamjua vyema.
Hi unafikiri kwa nini biblia ili sema ishini nao kwa akili?? Naomba jibu
 
Zab 53:2-3 SUV
BHN
SUV
Neno
SRUV
Toka mbinguni MUNGU aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu. Kila mtu amepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.

Kwa mtazamo WA Mungu ,yeye humtazama MTU mwenye AKILI endapo mtu huyo anamcha Mungu,anatafuta KUMPENDEZA Mungu,anatafuta kuyatimiza mapenzi ya Mungu kila anachokifanya anafanya kwa utukufu WA Mungu.ANAMSIKILIZA Mungu.

Kwa habari ya ADAMU na HAWA/EVA

ADAMU alimsikikiza mke wake badala ya kushika maagizo ya Mungu.
Ibrahimu kadhalika alimsiliza mke wake badala ya kumsikiliza Mungu ahadi ya Mungu aliyomuahidi.

Kuishi kwa mwanamke kwa AKILI ni kuishi naye kwa kwa kufuata KUSUDI la MUNGU na mapenzi ya Mungu,mana hata na hivyo Mungu ndiye aliyekupa huyo mwanamke,utaishi naye kwa kufuata mapenzi ya Mungu.

Mwanamke asiyekuheshimu asiyekupenda na anakuonyesha hakujita,hathamini UPENDO WAKO unaomuonyesha na unavyojitutumua kujitoa kwake na ndugu zake kadiri unavyozidisha UPENDO kwake na ndugu zake na yeye NDIVYO anavozidisha dharau na kukuona BWEGE,

siwezi KUVUMILIA DHARAU,hata kama mwanamke ni MZURI kama malaika na mabawa yake anaruka juu,siwezi KUVUMILIA DHARAU.

Kamaa ameshindwa kuthamini UPENDO wangu kwake,na kama ameshindwa kuniheshimu,huyo siwezi kuendelea naye na siwezi kumpiga ila NITAMUACHA aende kwa anayempenda yeye Mimi nitaoa OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Ikiwezekana Tusioe Wakuu 😂😂 Unazalisha tu upambania wanao "ukisimama nchale ukiinama nchale
 
Back
Top Bottom