Kimsingi tunakubaliana kuhusu upendo wake kwako kua ni kamali tuuWomen are so Loyal to their feelings,when a woman love ,she love for real..
Kama anakupenda sasa hivi kuna chance kubwa atakupenda hata kesho/in the
future
LAH kama hakupendi EVEN NOW at the beginning yani picha linaanza TU hakupendi basi JUA kuna chance kubwa hatakunda hata kesho in the future
Shida ni kipimapenzi hakipo! Wewe ni nani zaidi ya Adam na Samson? Chezea Hawa na Delila wewe?
Women are so Loyal to their feelings,when a woman love ,she love for real..
Kama anakupenda sasa hivi kuna chance kubwa atakupenda hata kesho/in the
future
LAH kama hakupendi EVEN NOW at the beginning yani picha linaanza TU hakupendi basi JUA kuna chance kubwa hatakunda hata kesho in the future
Nimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu, kaka yangu ni Kichaa kabisa anaokota Makopo huko kijijini kwetu na sababu kubwa ni baada ya mkewe kuanzisha Migongo ndani na mwisho kaka akachoka akataka waachane, Sasa mwanamke akataka Wagawane Mali Nusu Kwa Nusu, Sasa baada ya migogoro hiyo ya muda mrefu ikafikia hatua kaka akaona ni Bora amuachie mke wake Mali zote kuliko kugawana, siyo kwamba kaka alifanya hivyo Kwa kupenda Hapana bali ni kama alisusa alihisi kama Wana Sheria Wana muonea.
Hazikupita siku tatu tukapewa taarifa kuwa kaka yupo mtaani hajielewi, tume hangaika naye toka 2023, mwaka Jana tukaona Bora tumrudishe kijijini, mpaka muda huu yupo huko na mama tuna watumia Matumizi tu japo yeye kaka ni Kichaa kabisa.
Kaka alikuwa na nyumba tatu, mbili alizipata akiwa bado hajaoa , na Moja ndo walijenga wakiwa pamoja, alikuwa na duka Moja la spea na duka Moja la vipodozi ambalo ndo alikuwa anakaa mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu hizo Biashara zote zime Fungwa, shemeji amezimaliza ndani ya miaka Mitatu tu amebakia na hizo nyumba tatu, na walikuwa na watoto watatu.
Kinacho niumiza siyo Mali za kaka, ni kuona kaka yangu akiwa kwenye hali Ile wakati alikuwa ni mtu tegemeo kwenye familia yetu, haya mambo yana umiza sana, serikali Ina wasikiliza sana wanawake ila wanaume wanakosa watetezi.
Aseeh ni hatare bruhKijana wangu salamaleko, haya maisha na mambo ya ndoa acha tu ni hatare..
Leo mvua day elnino inaanzaAseeh ni hatare bruh
Maleko zalamu
Hamna bruh ni newmoon leoLeo mvua day elnino inaanza
New moon ndio niniHamna bruh ni newmoon leo
Kwa sababu wa akili sana kukiko sisiNimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu, kaka yangu ni Kichaa kabisa anaokota Makopo huko kijijini kwetu na sababu kubwa ni baada ya mkewe kuanzisha Migongo ndani na mwisho kaka akachoka akataka waachane, Sasa mwanamke akataka Wagawane Mali Nusu Kwa Nusu, Sasa baada ya migogoro hiyo ya muda mrefu ikafikia hatua kaka akaona ni Bora amuachie mke wake Mali zote kuliko kugawana, siyo kwamba kaka alifanya hivyo Kwa kupenda Hapana bali ni kama alisusa alihisi kama Wana Sheria Wana muonea.
Hazikupita siku tatu tukapewa taarifa kuwa kaka yupo mtaani hajielewi, tume hangaika naye toka 2023, mwaka Jana tukaona Bora tumrudishe kijijini, mpaka muda huu yupo huko na mama tuna watumia Matumizi tu japo yeye kaka ni Kichaa kabisa.
Kaka alikuwa na nyumba tatu, mbili alizipata akiwa bado hajaoa , na Moja ndo walijenga wakiwa pamoja, alikuwa na duka Moja la spea na duka Moja la vipodozi ambalo ndo alikuwa anakaa mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu hizo Biashara zote zime Fungwa, shemeji amezimaliza ndani ya miaka Mitatu tu amebakia na hizo nyumba tatu, na walikuwa na watoto watatu.
Kinacho niumiza siyo Mali za kaka, ni kuona kaka yangu akiwa kwenye hali Ile wakati alikuwa ni mtu tegemeo kwenye familia yetu, haya mambo yana umiza sana, serikali Ina wasikiliza sana wanawake ila wanaume wanakosa watetezi.
ga aseehNew moon ndio nini
Delila hakumoenda Samson ,ila alienda material mana aliahidiwa vipande vya pesa na ndugu zake ili amsaliti Samson na akaona Pesa ni Bora .(Pressure kutoka kwa ndugu za mke na tamaa ya mali)...akachagua mali over mumewe SAMSON mwanamke anayechagua mali over you hajakupenda huyo.
Tofauti na yule mke WA DAUDI mtoto WA mfalme SAULI aliyeitwa MIKAELI binti ambaye alimuokoa DAUDI akamtorosha kupitia kwamba DIRISHANI akamshusha kwenye kikapu usiku,ili asiuliwe na BABA YAKE (so huyu binti SAULI ,MIKAELI alichagua kulinda pendo lake over pressure ya familia yake na security ya ufamle WA baba yake mfalme SAULI ,mana mfalme SAULI baba yake binti akitaka kumuua DAUDI kwa sababu alikuwa Threat tishio kwa UFALME wake(HUU NDIO UPENDO TUNAO USEMA UOE MWANAMKE ANAYEKUPENDA)
Hawa alikuwa mke mwema lakini HAKUWA MKAMILIFU kama mwanadamu ..na alikuwa anampenda mume wake ADAMU,onyesha ni wapi AMBAPO HAWA/EVA hakumoenda mumewe ADAM...tendi Gani limekufanya UONE HAKUWA na UPENDO??
Jidanganye. Mwanamke unaona anakupenda leo kwa dhati kwa sababu unacho kitu au anakupenda leo kwa dhati kwa sababu anatarajia utapata kitu.Women are so Loyal to their feelings,when a woman love ,she love for real..
Kama anakupenda sasa hivi kuna chance kubwa atakupenda hata kesho/in the
future
LAH kama hakupendi EVEN NOW at the beginning yani picha linaanza TU hakupendi basi JUA kuna chance kubwa hatakunda hata kesho in the future
Only in Africa ndugu hawezi mpambania blood brother hii ngozi Ina shida kweliAhhhh bora kukaa pembeni waachwe wenyewe waone hatima yao