Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

Tamaduni zinawalinda wanaume toka enzi na enzi, huku wanawake wakiwa hawana watetezi, kwahiyo leo hii acheni sheria ziwatetee wanawake
 
Kimsingi tunakubaliana kuhusu upendo wake kwako kua ni kamali tuu
 
Shida ni kipimapenzi hakipo! Wewe ni nani zaidi ya Adam na Samson? Chezea Hawa na Delila wewe?

Delila hakumoenda Samson ,ila alienda material mana aliahidiwa vipande vya pesa na ndugu zake ili amsaliti Samson na akaona Pesa ni Bora .(Pressure kutoka kwa ndugu za mke na tamaa ya mali)...akachagua mali over mumewe SAMSON mwanamke anayechagua mali over you hajakupenda huyo.

Tofauti na yule mke WA DAUDI mtoto WA mfalme SAULI aliyeitwa MIKAELI binti ambaye alimuokoa DAUDI akamtorosha kupitia kwamba DIRISHANI akamshusha kwenye kikapu usiku,ili asiuliwe na BABA YAKE (so huyu binti SAULI ,MIKAELI alichagua kulinda pendo lake over pressure ya familia yake na security ya ufamle WA baba yake mfalme SAULI ,mana mfalme SAULI baba yake binti akitaka kumuua DAUDI kwa sababu alikuwa Threat tishio kwa UFALME wake(HUU NDIO UPENDO TUNAO USEMA UOE MWANAMKE ANAYEKUPENDA)

Hawa alikuwa mke mwema lakini HAKUWA MKAMILIFU kama mwanadamu ..na alikuwa anampenda mume wake ADAMU,onyesha ni wapi AMBAPO HAWA/EVA hakumoenda mumewe ADAM...tendi Gani limekufanya UONE HAKUWA na UPENDO??
 

Kama hakupendi from the strat/beginning it is very likely hatakupenda even in the coming days /in the future
Dalili ya mvua ni mawingu

OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
 
Kuna kitu kinaendelea kwenye haya makanisa ambacho kimeelezwa kwenye kitabu cha Waefeso 6:12. Ni vita vya nyakati za mwisho ambapo Paulo anatutaadharisha, vita hivyo si vya kutumia risasi na gobore bali ni juu ya mafundisho potofu.

Watu kupenda fedha kuliko kumtii Mungu na neno lake, watu kupendelea migawanyiko kwa kutumia hila na udanganyifu; yote haya yalitabiriwa na sasa yamedhihirika katika maisha ya kila siku.

This subtle influence is described as persuasive rather than absolute; it relies on deception, suggestion, and cultural momentum, which is why the text emphasizes discernment, mental vigilance, and spiritual resistance.
 
Kwa sababu wa akili sana kukiko sisi
 

MIKAELI. ni MIKALI binti SAULI alompenda DAUDI akamuokoa ASIUWAWE na baba yake binti(mfalme SAULI)..na si hao akina Delila(ni mfano mbaya hutumika kwenye MAONYO
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Kwasababu baadhi ya wanaume hawana akili.
Nimesoma heading tu wakuu
 
Couple ya mwanamke na mwanaume haijawah kumatch sababu izi n pande mbili tofaut zinazotofautiana pakubwa sana mfano mwanamke sifa zake kuu n mvuto, hisia, ubunifu na huruma.
Mwanaume sifa zake kuu n mantiki/Akili, mamlaka, ujasiri, usawa na uthubutu.

Izi sifa ukizioanisha zinakataa yaan wakiish pamoja inashindikana had mmoja atapoamua kuwa bendera fuata upepo.
Mfano;
1.Thaman ya mwanamke n mvuto alionao kwaio n ngum kumtawala kama huna kipato kinachoendana na mvuto wake haijalish ww n mwanaume na sifa yako n mamlaka.

2.Mwanamke anaendeshwa zaid na Hisia/mihemko ilhal mwanaume anatumia zaid akili/kutafakari kwaio lazima watofautiane kwenye maamuzi ya kila siku.

3.Mwanamke kiasili n mbunifu na mwanaume n jasiri kwaio atachukua maamuzi kwa ujasiri wa mm n mwanaume bila kumshirikisha mwanamke kwaio watajikuta wanatofautiana hasa mwanaume akikosea utasikia "ukunishirikisha au ukunisikiliza kwa kujifanya mwanaume umeona sasa."

4.Mwanamke sababu ndie mama wa familia kiasili ana huruma kwaajili ya malez bahat mbaya huruma inamfanya awe mtu wakudanganyika kirahis sana,
i.Nakujikuta ajenda za 50 kwa 50 anazibeba,
ii.Ajenda ya umiliki wa mali za peke ake anaibeba,
iii.Malezi ya mtoto na shughuli zote za ndan aachiwe dada wa kazi anaibeba iyo ajenda,
iv.Ajenda ya mwanaume anatawalika anaibeba pia,
v.Ajenda ya mapenz n mwanamke kuhudumiwa kila kitu iyo pia anaiish kwa nguvu zake zote.

Izo ndo sababu couple ya mwanamke na mwanaume inagoma kabisa na ndo sababu Mungu akasema ishi nae kwa akili, usiish nae kwa hisia wala kwa kukariri au mazoea.
 
WANAWAKE NI VICHAA, WANAUME WAJINGA.
na sababu kubwa inayofanya wanawake wawe vichaa ni kwa vile wanaume ni wajinga.
 
Jidanganye. Mwanamke unaona anakupenda leo kwa dhati kwa sababu unacho kitu au anakupenda leo kwa dhati kwa sababu anatarajia utapata kitu.
Kila mwanamke aina yake ya kwanza ya mwanaume anaemhitaji ni mwenye hela. Akikosa mwenye hela anafuata mwenye ajira fulani angalau inayosogeza maisha au mwenye kabiashara fulani au mwenye elimu ya juu kuliko yeye au level ya elimu ya kupata ajira.

Ndio maana mwanamke msomi mwenye degree au diploma kuolewa na mwanaume la saba au form four ambae hana kitu ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano.

Mwanamke anakupendea nini unacho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…