Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Ndugu zangu mshawahi kujiuliza kwanini uchawi hautumiki kwenye uwanja wa medani (vitani), nadhani kuna vitu vingi tumeshuhudia vya kichawi ambavyo ki uhalisia au ki fikra za kawaida tu vinaweza kuwekwa kwenye vita na vikafanya kazi..
Lakini cha ajabu Uchawi hautumiki kabisaaa ani tena nasikia uzunguni huko uchawi wao upo developed😀😀 sasa inashindikanaje wale wanajeshi wa upinzaniwakapigwa kimbora wakaumwa matumbo wiki nzima.
Mi naona uchawi ni wa mchongo... kuna sababu nyingine?