Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
- Thread starter
- #21
na vipi kama we mwenyewe ndo hela zinapotea mikononi mwakoChumaUlete ni UCHOCHORO wa wafanyakazi wadokozi kuwaibia mabosi VILAZA!
Taratibu za kibenki ZIMEZIBA huo uchochoro!
Naongea kwa UZOEFU.
Mimi ni MFANYABIASHARA, nasema hiviii KIUHALISIA HAKUNA KITU KINACHOITWA CHUMA ULETE!!!
Mfanyakazi wako akikuletea habari za chumaulete, tia mabanzi, weka ndani... mwenyewe atakuonesha ALIPOFICHA HELA ZAKO!!!