Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vile akili Yao ni ndogo mno...maana hakuna sehemu wanaenda wa maana kama kwenye bar(inategemea Na sehemu lakni)Kwasababu kila kitu kipo pale ......View attachment 2068807
Hahahahh habari za huko bar kweli sina cha kuongeleaJ acha basi mambo ya ajabu..
Hujwahi kwenda bar kweli!!.
Hakika leo nimechukia Kwa kiwango kizito mno😓😓
Nimekumiss pia Joana wangu..unaendeleaje mama
Kwakweli ninamasikitiko makubwa mno😩😩😩Hahahahh habari za huko bar kweli sina cha kuongelea
Pole kwa yaliyokusibu
Mie naendelea vizuri,habari za kwako?...nani alikuficha asee
Hakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
Ilikuwa hivyo Kwa kipindi chote ulichokuwa mbeaHii tabia kuna baa flani mbeya ilikua nikitaka kwenda na mwanaume inabidi umtangulize akaagize then na wewe ufate vinginevyo mtakaaa hata nusu saa hakuna anaekuja kuwasikiliza na ikitokea amekuja hehehe utapata kichefuchefu mbona
Sasa mbona hata Sheri yenyewe sina The Boss ..Wadada wa bar hawapendi kabisa wadada wenye shepu kuwazidi...wanakasirika na kununa kabisa..
Ndo maana bar kubwa lazima wawepo wahudumu wa kiume hata wawili...
Ilikuwa hivyo Kwa kipindi chote ulichokuwa mbea
Ya au walikuja kukuzoea Na kupata huduma nzuri?
Huyo mdogo wako Ana tetea pale hasa huyo mtoa hudumaSasa mbona hata Sheri yenyewe sina The Boss ..
Leo nimeshuhudiwa Kwa macho mawili nikirushiwa chakula jaman.
Na wangejua niliyekuwa nae ni mdogo wangu hakika wasingenipa treat ile jamani🥲🥲🥲
Haya my dia,nimefurahi kukuona tenaKwakweli ninamasikitiko makubwa mno😩😩😩
Jambo la kheri kusikia kama unaendelea vyema.
Sikufichwa Na mtu ni majukumu ya hapa na pale yalichangia my Joana