Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Happy new year dogo ila kwann uende nae bar sasa?
Thanks big brother Na kwako pia..umekuwa adimu nowdays

Jamani kwani siku hizi tumefikia huko kuogopa kwenda Na wapendwa wetu bar!!inasikitisha ujue
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣brother unajua akili yako si nzuri aise..
Nimecheka sana eti unaikuta comment ya kwenye uzi wa mradi wa maji🤣🤣🤣
Serious ishawahi kunitokea humu zilichukuliwa komenti zetu Kama za watu watatu hivi.. halafu isitoshe huyo mleta habari nilishawahi kutupia mistari hakujibu nikammind!... Akaja nionyesha ufundi wake sasa mbona nilionekana chizi..😂

Watu wakawa wanakomenti tu mbona hatuelewi uzi na komenti tofauti..😅
 
Nami naitikia kwa bashasha ya kiume Chakorii

Missed you big time...happy new year and happy to finally have u here...xoxo!
Ohoooo😊😊😊

Missed yo too Watu8
Bado mwaka ni mpya ...Na kwako pia

Kunimiss kunasoma asilimia ngapi!😉
 
Serious ishawahi kunitokea humu zilichukuliwa komenti zetu Kama za watu watatu hivi.. halafu isitoshe huyo mleta habari nilishawahi kutupia mistari hakujibu nikammind!... Akaja nionyesha ufundi wake sasa mbona nilionekana chizi..😂

Watu wakawa wanakomenti tu mbona hatuelewi uzi na komenti tofauti..😅
Acha kugusa vyakula vya watu blaza ukiendelea utamwagiwa maji ya moto🤣🤣🤣
 
Wahudumu wa kike huwa wana kasumba mbaya juu ya wateja wa jinsia nao sawa...

Tabia hiyo ipo pia hata sehemu nyinginezo kama banks, gas stations, kwa manesi/doctors (kama ni mwanaume ukitaka tibiwa vizuri, ulizia dokta wa kike 😉 hutajuta)...
Hili ni kweli kabisa aise..

Hebu siku moja tutoke tukazishuhudie hizi tuhuma pamoja..unaonaje
 
deal, one day indeed...hakuna maneno mengi
📌📌📌🥂🥂🍾

Nimekuja kula sehemu muda si mrefu nikakutana Na same shit Na niko pekee yangu😩😩
DAF339E0-9B48-4332-B641-CE1A281B312F.jpeg
 
Back
Top Bottom