Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Mmehudumiwa na ke bila shaka. Wahudumu wakiona me peke yake anapata first class service na customer service ya kipekee, super! Ole wako uwe na ke sasa

Hali kadhalika mdada ukihudumiwa na mkaka unapata treat nzuri, ila uwe na me sasa

Huyo Joanah achana nae, tutaenda nae wote apate experience ya worst customer service
Hahaha mie mtu akini-mistreat wala haniumizi kichwa
 
Mmehudumiwa na ke bila shaka. Wahudumu wakiona me peke yake anapata first class service na customer service ya kipekee, super! Ole wako uwe na ke sasa

Hali kadhalika mdada ukihudumiwa na mkaka unapata treat nzuri, ila uwe na me sasa

Huyo Joanah achana nae, tutaenda nae wote apate experience ya worst customer service
Kumbe hata me wanayo hii tabia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Poleee...😥

Hujamalizia na muhudumu ni mdada
Asante kwakweli.

Wote ni wadada Ila wa jikoni kanihudumia vizuri nakamtip Ila hiki kisebengo cha bar sasa kha!!ilinibidi niende counter nikajihudumie mwenyewe
 
Back
Top Bottom