Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi inawezekana vipi mimi hujawahi kunimiss aseeee?

Ama hadi siku nipotee 2 or 3 weeks hivi?

Ooh! no Jo...mimi na wewe mbona kama almost tupo wote around! 😌😌

Ila comment yako imenifanya nijisikie like blameworthy kinda...
 
Kwa hiyo nikipotea utaniambia umenimiss ee?

Hahaha ndio ilikuwa target yangu...

😊 hahah muone vile...hata usipopotea Jo, yo always missed...

Ukiwa JF i think there're different ways of showing how much you care bout someone...sio lazima ikuwe ile directllllly, if you know what i mean
 
Yessssssir!
Asante 😊
 
Mbona hata humu jf hiyo tabia ipo!
Mods wakike wakijua unamchumba nyuzi zako zitafutwa hovyo muda mwengine kuzi mix.. unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje..😂
 
Wale kawaida yao, watu wengi walikua wanalalamika, kama kubadilika labda wawe wamebadilika sasa
Hawawezi kunadilika hao aise wanaroho za chuki sana
 
hata sisi wanaume tukienda bar peke yetu bila kampani ya mwanamke huwa tunahudumiwa kwa uchangamfu sana na wahudumu wa kike.

siku ukitaka kuona vituko nenda bar na mke wako/girlfriend au mwanamke yoyote tu. kaa nae mezani halafu muwe mnapiga story zenu kwa namna ya mahaba.

muhudumu yuleyule wa kike ambaye ukiwa peke yako huwa anakudumia kwa ucheshi na bashasha, siku hiyo atakuhudumia kwa kisirani sana. atakuwa very slow ku-serve meza yenu, pia atakuwa na majibu ya mkato kwa kila swali utakalomuuliza. ni full vituko.
Roho za chuki zitawauwa..
Unashindwa kumhudumia mtu vizuri kisa unahisi anakutilia kiwingu..ni waajabu sana
 
Nilienda sehemu na mwanaume, basi nikaenda washroom, chakushangaza huyo mhudumu ndio akaenda kukaa nilipokuwa narudi akaondoka zake, nikamwona mjinga tu na anayeleta mazoea baada ya kazi
Aise binafsi angenieleza vizuri kwanin niondoke akakae halafu narudi anaondoka 😀😀kungepambazuka mbona labda kama huyo mwanaume ni Ndugu yangu
 
Mbona hata humu jf hiyo tabia ipo!
Mods wakike wakijua unamchumba nyuzi zako zitafutwa hovyo muda mwengine kuzi mix.. unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje..😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣brother unajua akili yako si nzuri aise..
Nimecheka sana eti unaikuta comment ya kwenye uzi wa mradi wa maji🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom