Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Unajua vile naijua ID ya Joanah haiwezi weka avatar ya mapigo yale...

Nikasema ngoja nimchokoze kwa kuweka avatar mpya...kumbe nimepotea njia mazima 😂😂 uchokozi umebuma...
🤣🤣🤣🤣
 
Heri ya mwaka mpya kwako pia

Ndio ndio,chakula kiwe kisafi na kizuri...kama itakuwa sio muhimu kurudi sirudi

Umuhimu gani tena zaidi ya chakula kuwa kitamu, kizuri na kisafi?
Hapo ntarudi mara nyingi tu, na nikiona wahudumu hawaeleweki hua naenda mwenyewe jikoni na counter kwenye vinywaji nalipia kabisa nasubiria chakula na kinywaji.
 
Mmehudumiwa na ke bila shaka. Wahudumu wakiona me peke yake anapata first class service na customer service ya kipekee, super! Ole wako uwe na ke sasa

Hali kadhalika mdada ukihudumiwa na mkaka unapata treat nzuri, ila uwe na me sasa

Huyo Joanah achana nae, tutaenda nae wote apate experience ya worst customer service
Yes wa juzi ni ke Na hata huyu leo pia ni ke..

Sijui tunajikutaga nani sisi saa ingine 😁😁

Joanah inaelekea hajawahi kwenda bar akakutana Na hizo changamoto kabisa huyu
 
Heri ya mwaka mpya kwako pia

Ndio ndio,chakula kiwe kisafi na kizuri...kama itakuwa sio muhimu kurudi sirudi
Unajua kunawakati mwingine unakuta unafurahia service kuliko chakula ee..
 
Umuhimu gani tena zaidi ya chakula kuwa kitamu, kizuri na kisafi?
Hapo ntarudi mara nyingi tu, na nikiona wahudumu hawaeleweki hua naenda mwenyewe jikoni na counter kwenye vinywaji nalipia kabisa nasubiria chakula na kinywaji.
Hapo sawa kabisa
 
Hapana ndio ukweli najua tuko mbali mbali sana ila ipo siku huenda nikakualika tukala sehemu ambapo utapewa huduma na kuambiwa Yes Mum
Achana na bar
Ewaaa...nimeshaachana na mambo ya bar kwanzia sasa..

Hii siku ni mwaka elfu mbili Na ishirini Na ngapi chief
 
Ewaaa...nimeshaachana na mambo ya bar kwanzia sasa..

Hii siku ni mwaka elfu mbili Na ishirini Na ngapi chief

Wala usihofu siku nikitua uje kunipokea tu mengine utaniachia mwenyewe

Hiyo siku itakuja tuombe uzima tu na sio mbali sana ni mwaka huu huu 22 [emoji120][emoji7]
 
Mbona hata humu jf hiyo tabia ipo!
Mods wakike wakijua unamchumba nyuzi zako zitafutwa hovyo muda mwengine kuzi mix.. unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje..😂
😂🤣😂🤣😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom