Kakuomba umueleze?Ila nikimuelezea shida sawa
Sio sifa ni kati ya story tu unaweza kuta mnazungumzia maendeleo zaid
Kwanini hampendi watu wafanikiwe
Kwan stor za mafanikio lazima uzungumzie yako binafsi?Hujawai kupiga story na mates kuhusu mafanikio?
Kiwanja bagamoyo fukayosi! Kutafuta maadui tu bure. Mkirogwa ooh! Dunia sio mbaya walimwengu wabaya[emoji3][emoji3] umetugeukia sisi tena, mafanikio ni yako, unayaelezea ili iweje? Wewe unajishtukia tu, hayo unayoita mafanikio usikute ni upuuzi tu!