Hivi kwanini ukimueleza mtu mafanikio yako anakasirika?

Kwann umuelezeee
 
Binaadamu tumeumbwa na ubinafsi.
 
Nimemwambia au tunapiga tu story za michakato ya maisha
Bwana kazanazo watu wanalalamika eti mafuta ni ghari sana, mimi sijui sasa nikasema ngoja nijionee mwenyewe, nikaenda kuweka mafuta na msaidizi wangu, kuangalia receipt hata dola Mia mbili haifiki, nilishangaa sana nikamuuliza msaidizi wangu sasa hawa watu wanalalamikia nini
 
Ni kweli mafanikio yako inabidi yawe Siri ,

Ukitaka kuongeza maadui tangaza mafanikio yako au malengo yako

Binadamu wame umbiwa mashindano kila mtu anataka awe juu ya mwenziye

Tunza Malengo yako uta tunza Amani yako.
 
Mbona nikiongelea shida personal haiwi tabu
Shida sio tatizo! Mana hapo inawezekana hata wewe unaongelea ili uonewe donge yan unaringisha. Wao wanaongelea ya kwao?
 
Kuna watu wanahasira za kifara yaan nakuambia tu km mshikaji twende ukawe shahidi naenda kununua kiwanja anaanza kukutangaza kwa ndugu....ohoo huyu naona si mda ataanza kuwatoa sadaka hawezi nunua kiwanja cha m 60 katoa wapi hela hahaaaa ..ulikuwepo nilipo kua nahangaika πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kakuomba umueleze?
 
Shida sio tatizo! Mana hapo inawezekana hata wewe unaongelea ili uonewe donge yan unaringisha. Wao wanaongelea ya kwao?
Kwanini shida sio tatizo kwahiyo watu tuwe na shida tu muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…